Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Inashangaza sana kuona wanaume wanaumia kwa ile ndoa kutwa kuanzisha nyuzi zisizoeleweka ili mradi tu waonyeshe chuki zao
Kuna watu hawajapenda nandy alivyoolewa,,kama vile wangeolewa wao,
Inashangaza hasa wanaume[emoji23]