Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Alikuwa na mpunga hilo ndio tatizo kubwa aliokuwa nalo. Hela ikizidi lazma ziPu iwe mbovu tu.Ruge alikua anatembea na mademu wa watu kibabe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa na mpunga hilo ndio tatizo kubwa aliokuwa nalo. Hela ikizidi lazma ziPu iwe mbovu tu.Ruge alikua anatembea na mademu wa watu kibabe.
Ukimwi unaua vijana oeni
Kumbe,?Billnas ndio alimwacha Nandy na wakati huo Nandy akakaanza kutoka na Ruge
[emoji1787]Hivi ukioa mtu ambae kwao hela zipo..zinahamiaje kwako wewe ulieoa?
Ruge kagonga Sana mpk akataka kuoa. Hata nyumba wanayoishi Sasa ni Ruge alimjengea Nandy. Nenga ana roho ngumu sanaKwa hiyo Ruge alikuwaga anagonga hapo?
Nandy ni bibi kizee (sema ni kijeba). Umewaona wadogo zake?Hivi Nandy na Nenga ni yupi Mkubwa?
Umeiona hiyo hela kwa kina Nandy ?Shida ni kwamba Wille Hela Hana na Faustina Charles kwao Hela Ipo so ni Kama William kaolewa Yeye
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
MkuuHivi ukioa mtu ambae kwao hela zipo..zinahamiaje kwako wewe ulieoa?
Kwanini alikuwa anawalamba bakora kiasi hicho ?Wanawake waliopita THT karibia 80% mwongoza njia amepita nao
Nandy. Linah. Mwasiti. Mke wa romy jons zamaradi. Jay dee.. ray c..kaby. .jamaa kachafua wote..
Na wote wanabugia karanga
Kwani Nandy kaolewa ama kaoa?Ndio ni kama vile mlitaka muolewe nyie
Hii ni mentality ya watu wavivu.Zosipohamia kwako zinahamia kwa Mwanao/Wanao
Nandi kwao wala hana hizo hela ambazo wapuuzi wanadanganyana humu ndani.Nimeona ona sana wadau wakisema Nandi katoka familia yenye hela! Ebu fafanueni, ni Nandi yupi, huyu Nandela wa Tabata, baba'ake mwenye shughuli yake kabla ya kufika Mawenzi pale? Nandi yule akiuza duka au?
Unataka uolewe wewe ili ndoa hidumu?Hawadumu
Nyumba yao ipo sehemu moja huko Mlandizi panaitwa Disunyara.Mi pia nimechoka hoii,wanaosema Nandy kwao Kuna hela ipi labda?
Pesa ya Nandy imekuja baada ya Nandy kua mwanamuziki na ruge kuwajengea wazazi wa Nandy nadhani mlandizi hukoo...
Hii nchi bwana watu wanalishana uongooo[emoji16][emoji4]
Kwani Nandy kaolewa ama kaoa?
Kuna watu wako Simiyu lkn wanamjadili Nandy kana kwamba wanaishi UbungoNimeona ona sana wadau wakisema Nandi katoka familia yenye hela! Ebu fafanueni, ni Nandi yupi, huyu Nandela wa Tabata, baba'ake mwenye shughuli yake kabla ya kufika Mawenzi pale? Nandi yule akiuza duka au?
KakuoaKwani Nandy kaolewa ama kaoa?
Nandy kamuoa NengaKakuoa