Neno "DEAR" linatumika vibaya au ni Ushamba wangu

Dear ni neno la kawaida na ata mpenzi akitumia naona kama amenishusha sana aisee yaani Dear ata hainogi bwana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mafala mmekutana
 
๐Ÿ˜† sio tatizo lako , wenzako waliwekewa ubongo wewe unakinyesi kichwani .
Acha ushamba na ulimbukeni, na hivi ulivofika mjini ukakutana na mabwabwa wenzio sa unaona umewin na umesomaaa kuliko wote....yaan kiufupi bado una ushamba elimu unayohisi umesoma hakuna kitu imefanya unawaza tu umeelimika kuliko watu wote kijijini kwako ulikotoka hata mwanaume mwenzio akikuita mpenzi utaona sawa tuu
 
Madhara ya kinyesi ulichonacho kwenye ubongo yameanza kujitokeza
 
mimi mwanaume mwenzangu ukiniita dear tunazichapa hapohapo, haijalishi ulikua na nia gani
 
Mweka mada kayatimba!..๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ