Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
- Thread starter
- #81
MImi sio dear wakoNini sasa dear wangu😍😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MImi sio dear wakoNini sasa dear wangu😍😂
Ujue unaniumiza dearMImi sio dear wako
Wapi panaumaUjue unaniumiza dear
Sasa dear,mbona mimi nimekuita wewe dear kwa hiyo tayari nimeshakuamsha hisia za kimahaba au sioHIsia za kimahaba kama aliyekuita hivyo ni jinsia tofauti
Hapana kwasabu najua unafanya jokesSasa dear,mbona mimi nimekuita wewe dear kwa hiyo tayari nimeshakuamsha hisia za kimahaba au sio
Ila mwanaume akiwa serious na akakuita dear...........???Hapana kwasabu najua unafanya jokes
Dear ni neno la kawaida na ata mpenzi akitumia naona kama amenishusha sana aisee yaani Dear ata hainogi bwana🤣🤣🤣🤣Kwa miaka ya hivi karibuni matumizi ya neno dear yameongezeka sana, zamani ukimuita mtu dear maana yake kuna mapenzi kati yenu
Siku hizi dear linatumika kwa mtu yoyote yule hasa sisi wadada tunaitana sana hivyo.
Cha kushangaza sasa...Unaweza ukawa unawasiliana na mtu/mdada ambae hamfahamiani hata sura, inaweza ikawa kibiasha au kwa sababu nyingine, anakwambia okay dear, yaani dear dear za kutosha. Hili huwa linanishangaza yaani iweje huyu mtu hanijui kuniita dear amewaza nini. Sipendi hii tabia.
Sasa leo mimi nimefiwa na mjomba wangu jamani kwanza nipeni pole maana nina majonzi ya kutosha. Huyu mjomba tumeishi nae kipindi nipo mdogo, so ni mjomba wangu wa karibu sana. Rambi rambi napokea.
Nikapost whatsapp status rest in peace my uncle..kuna dogo mmoja ambaye ni fundi seremala huwa namtumia kunitengenezea baadhi ya kazi zangu akarespond ile status akasema "pole dear". Nimejibu asante lakini nimejiuliza sana huyu dogo vipi kuniita dear wakati hatuna hata mazoea nae zaidi ya kazi mara moja moja kuniita mimi dear. Sijapenda naona kama ni ukosefu wa adabu.
Je nyie wenzangu neno dear mnalitumia kwa watu aina gani? Mimi nalitumia kwa mpenzi na kwa mashosti zangu wa karibu kabisa.
Mafala mmekutanaKwenda shule hakumaanishi kudestory asili yetu wabantu, huyu mtoa mada namuelewa vizuri kuna namna unakuta mtu anakuita iwe kwa sauti au kwa msg aahhrr inakera hasa ukute wa jinsia yako dah inafikirisha....pamoja na masters yangu sijawahi kupenda kuitwa itwa ivo vimajina bila uhusiano wowote....na wewe punguza ulimbukeni ukahisi kusoma ndo kubleach uhalisia wa maisha ya mtz
Hongera wengine eti yanawakeraHata dear linafanana na hayo. Nikiitwa dear nasisimka
No wonder kuna jamaa anakuita dear na unaona raha tu eti umesoma, na ipo siku atakushika trakho pia utaona kawaidaMafala mmekutana
😆 sio tatizo lako , wenzako waliwekewa ubongo wewe unakinyesi kichwani .No wonder kuna jamaa anakuita dear na unaona raha tu eti umesoma, na ipo siku atakushika trakho pia utaona kawaida
Acha ushamba na ulimbukeni, na hivi ulivofika mjini ukakutana na mabwabwa wenzio sa unaona umewin na umesomaaa kuliko wote....yaan kiufupi bado una ushamba elimu unayohisi umesoma hakuna kitu imefanya unawaza tu umeelimika kuliko watu wote kijijini kwako ulikotoka hata mwanaume mwenzio akikuita mpenzi utaona sawa tuu😆 sio tatizo lako , wenzako waliwekewa ubongo wewe unakinyesi kichwani .
Madhara ya kinyesi ulichonacho kwenye ubongo yameanza kujitokezaAcha ushamba na ulimbukeni, na hivi ulivofika mjini ukakutana na mabwabwa wenzio sa unaona umewin na umesomaaa kuliko wote....yaan kiufupi bado una ushamba elimu unayohisi umesoma hakuna kitu imefanya unawaza tu umeelimika kuliko watu wote kijijini kwako ulikotoka hata mwanaume mwenzio akikuita mpenzi utaona sawa tuu
Dear haimanishi hivyoNo wonder kuna jamaa anakuita dear na unaona raha tu eti umesoma, na ipo siku atakushika trakho pia utaona kawaida
Anapata shida kijinga! Kwa upande mwingine anahisi unapendwa na mtu pia!Upumbavu wako wakutokwenda shule. Dear maana yake ni mpendwa kwa kiswahili
Mjinga sana,, ndiposa nimemuuliza hujawahi kuandika hata barua pepe au barua? Mbona ni neno common sanaAnapata shida kijinga! Kwa upande mwingine anahisi unapendwa na mtu pia!
Inakera ndioHongera wengine eti yanawakera