Neno "DEAR" linatumika vibaya au ni Ushamba wangu

Neno "DEAR" linatumika vibaya au ni Ushamba wangu

Kwa miaka ya hivi karibuni matumizi ya neno dear yameongezeka sana, zamani ukimuita mtu dear maana yake kuna mapenzi kati yenu
Siku hizi dear linatumika kwa mtu yoyote yule hasa sisi wadada tunaitana sana hivyo.
Cha kushangaza sasa...Unaweza ukawa unawasiliana na mtu/mdada ambae hamfahamiani hata sura, inaweza ikawa kibiasha au kwa sababu nyingine, anakwambia okay dear, yaani dear dear za kutosha. Hili huwa linanishangaza yaani iweje huyu mtu hanijui kuniita dear amewaza nini. Sipendi hii tabia.

Sasa leo mimi nimefiwa na mjomba wangu jamani kwanza nipeni pole maana nina majonzi ya kutosha. Huyu mjomba tumeishi nae kipindi nipo mdogo, so ni mjomba wangu wa karibu sana. Rambi rambi napokea.

Nikapost whatsapp status rest in peace my uncle..kuna dogo mmoja ambaye ni fundi seremala huwa namtumia kunitengenezea baadhi ya kazi zangu akarespond ile status akasema "pole dear". Nimejibu asante lakini nimejiuliza sana huyu dogo vipi kuniita dear wakati hatuna hata mazoea nae zaidi ya kazi mara moja moja kuniita mimi dear. Sijapenda naona kama ni ukosefu wa adabu.

Je nyie wenzangu neno dear mnalitumia kwa watu aina gani? Mimi nalitumia kwa mpenzi na kwa mashosti zangu wa karibu kabisa.
Dear ni neno la kawaida na ata mpenzi akitumia naona kama amenishusha sana aisee yaani Dear ata hainogi bwana🤣🤣🤣🤣
 
Kwenda shule hakumaanishi kudestory asili yetu wabantu, huyu mtoa mada namuelewa vizuri kuna namna unakuta mtu anakuita iwe kwa sauti au kwa msg aahhrr inakera hasa ukute wa jinsia yako dah inafikirisha....pamoja na masters yangu sijawahi kupenda kuitwa itwa ivo vimajina bila uhusiano wowote....na wewe punguza ulimbukeni ukahisi kusoma ndo kubleach uhalisia wa maisha ya mtz
Mafala mmekutana
 
😆 sio tatizo lako , wenzako waliwekewa ubongo wewe unakinyesi kichwani .
Acha ushamba na ulimbukeni, na hivi ulivofika mjini ukakutana na mabwabwa wenzio sa unaona umewin na umesomaaa kuliko wote....yaan kiufupi bado una ushamba elimu unayohisi umesoma hakuna kitu imefanya unawaza tu umeelimika kuliko watu wote kijijini kwako ulikotoka hata mwanaume mwenzio akikuita mpenzi utaona sawa tuu
 
Acha ushamba na ulimbukeni, na hivi ulivofika mjini ukakutana na mabwabwa wenzio sa unaona umewin na umesomaaa kuliko wote....yaan kiufupi bado una ushamba elimu unayohisi umesoma hakuna kitu imefanya unawaza tu umeelimika kuliko watu wote kijijini kwako ulikotoka hata mwanaume mwenzio akikuita mpenzi utaona sawa tuu
Madhara ya kinyesi ulichonacho kwenye ubongo yameanza kujitokeza
 
mimi mwanaume mwenzangu ukiniita dear tunazichapa hapohapo, haijalishi ulikua na nia gani
 
Back
Top Bottom