"UKiruhusu akili ifanye kazi vizuri kabisa bila kuingiza HISIA utagundua jambo moja kubwa sana, Israel inayoonwa Leo na kusemwa Leo si Ile ilisemwa 325 AD ,hii imeundwa upya kwa lengo la kibiashara na hizo historical sites ni za kutengenezwa"
Katika matukio halisi ya kihistoria Hawa jamaa WALITAKA Israel Yao iwe Katika nchi za maziwa makuu ambako ndipo chanzo Cha mto Nile ,pia ndipo Binadamu wa kwanza aliishi,hili halibishaniwi na msomi yoyote maana ni fact...(Deal Yao ingefanikiwa Leo huenda mlima Sinai ingekuwa ni hii Kilimanjaro Wala siyo vile vichuguu vya pale Palestine)
Kumjua Mungu siyo kuwa fooled kwa maujinga ya kutungwa..just obey Land, Air and water and level up your frecuency hakuna kitu kitakushinda