Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

Nahisi kuna jambo zito linakuja.
Maana sio kwa huu ukimya.
Ila Israel imeshasogeza vifaru na wanajeshi mipakani na Lebanon.
 
Hakuna anayeelewa, lakini naona kikubwa wanajipanga na wanaandaa mikakati thabiti.
Hao bana wakisema washajiandaa aisee inakua balaa.
Imenikumbusha May Iran ilivyokaa kimya kuhusu kushambuliwa balozi yake Syria.
Watu walisema ameshakubali matokeo.
Ila tukio lililokuja kutokea baadae hata Israel hakuamini.
Tusubiri tuone.
 
Hii uliona wewe, ila wao walichokiona ni Netanyahu kuwa hana mswalie mtume, anawavuruga sana waja wa allah
 
Ni kweli Israel haikuivamia Iran, lakini nikuulize Kiongozi Mkuu wa HAMAS na Rais wa Iran walibaki salama? Ahahahahaha!!!
 
Bila mabwana zake hana ujanja.


View: https://youtube.com/shorts/-p-mxQyvMKk?si=rRjbZWBuKNKnOd-m
 
Hapa kinachosubiriwa ni Hezbollah atoe tamko kwamba anaingia vitani, ndipo watu watagundua kama vita ni rahisi wanavyofikiria...

Israel njia pekee kujiponya ni kuua raia, kijeshi ni wadhaifu.

Hezbollah wakitoa tamko rasmi tutashuhudia mengi..
Vita ni ngumu ndugu yangu vijana hawajui!

Na kufa nje nje!
 
Ismail Haniyeh ndio rais wa Iran!?
Mbona we ni kichaa aisee!??
Ubongo mgando wewe. Ina maana hujui kwamba raisi wa Iran aliuwawa na Israeli kwenye milima. Huyo Haniyeh si aliuwawa baada ya kutoka kwenye sherehe ya kuapishwa rais mpya.
 
Nahisi kuna jambo zito linakuja.
Maana sio kwa huu ukimya.
Ila Israel imeshasogeza vifaru na wanajeshi mipakani na Lebanon.
Israel anachotaka kukifanya Lebanon ni kama Gaza...

Lakini Hezbollah na wao wametoa message majuzi hapa baada ya kushambulia Tel Aviv kulenga jengo na kudai kwamba ndipo mipango Mossad wanaposuka ili kuua viongozi wa Hezbollah....

Hata hivyo Israel imekana kwamba hapo hapakua HQ za Mossad....

Hezbollah ametoa ujumbe zaidi na si kushambulia kwamba vita ya namna hio tunaiweza...

Wanaweza lenga majengo randomly kwa kigezo mossad wanaishi humo na kufanya mipango... Its a cheap strategy ambayo IDF inafanya na Hezbollah kuonyesha wanaweza pia...

Ndio maana toka hilo shambulizi Tel Aviv litokee imekuwa kama shock flani kwa Israel...
 

Kibri chake kitaisha, endeleeni kufurahia tu
 
Ubongo mgando wewe. Ina maana hujui kwamba raisi wa Iran aliuwawa na Israeli kwenye milima. Huyo Haniyeh si aliuwawa baada ya kutoka kwenye sherehe ya kuapishwa rais mpya.
Una uhakika gani rais wa iran ameuawa na israel?
 
Una ushahidi gani kama Israel ndio walimuua rais wa Iran?
Mbona Netanyahu alikataa?
Lini myahudi alifanya shambulio la siri na akakubali. Je, kuuawa kwa Haniyeh Israel imekiri kumwua?
 
Hapo ujue MOSSAD wamo kitambo ndani ya majeshi ya Iran na kiduku
 
Nahisi kuna jambo zito linakuja.
Maana sio kwa huu ukimya.
Ila Israel imeshasogeza vifaru na wanajeshi mipakani na Lebanon.
Hao wakithubutu wanapata aibu ya karne.

Syria naye amepanga kurudisha eneo lake na taarifa rasmi zinasema takribani wanajeshi elfu arobaini kutoka Yemen, Taliban, Iraq na Syria wenyewe wapo hapo mpakani na Israel. Wanasubiri kosa la kiutebdaji alifanye Israel.

Netanyahu akithubutu kuingiza jeshi kwenye mipaka ya Lebanon hiyo ni vita kamili. Na jeshi la Israel limesha prove ni mdebwedo kwenye vita yake na Hamas.

Na kinachofanyika sasa hivi Iran ananunua silaha za kuzamisha meli Russia na kumpatia Yemen. Ikiwa vita ikiaanza Yemen atakuwa anadili na meli za kijeshi za Bwana Nato hapo baharini.

Hivyo mazingira kwa Israel na mabwana zake si rahisi kihivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…