Netanyahu amekula chakula chenye sumu , kupumzika kwa siku tatu, ofisi yake yasema

Status
Not open for further replies.
Anastahili kufa amekuwa watu kibao bilahatia Mungu anamuonyesha machungu wanayoyapitia wengine
 
Huku tunakula sana vyakula vyenye sumu, mara mtu uvimbiwe, mara ujambe kwa sana, mara utapike, mara uharishe na maisha yanaenda. Kwingine mtu akila chakula chenye sumu ni ishu kubwa
 
Hahahhaha ila kikitokea Kimbunga Iran mnasema kimetengenezwa na Mossad!!

Just kidding
Mambo mengine yapo wazi mkuu. Rais wao alipata ajari ila Presidential Escort wakajua baada ya lisaa. Huu uzembe hata mabaunsa wa vichochoroni wabeba nondo wale wanaokodishwa na wasanii hawawezi fanya.
 
Mngepotezea wazee kutukanana sio solution ya kitu chochote na pia tuwe na stamina wazee sio kitu kidogo tu sukari ya mtibwa inapanda balaa sasa mnatukanana mpaka wa watu wasiokuwepo JF..
Jifunzeni kuwa na Stamina wazee.
Nakubaliana nawe. Ila nimeshangaa tu why alianza kutukana wakati mimi nlimjibu kirafiki tu. Sasa siku hizi nami hawa madogo wamenifundisha matusi. Maana wazazi wangu hawakunifundisha kabisa.
 
huyo ni cha mtoto, yupo mwingine akiingia madarakani hakuna rangi mtaacha kuona
 
Nakubaliana nawe. Ila nimeshangaa tu why alianza kutukana wakati mimi nlimjibu kirafiki tu. Sasa siku hizi nami hawa madogo wamenifundisha matusi. Maana wazazi wangu hawakunifundisha kabisa.
Unawakosea wazazi wako kwa kufanya kitu tofauti na wao ni kuwapotezea tu mbona mimi wananitukana sana tena bila sababu za msingi unabaki kumuangalia tu na sipungukiwi kitu maisha yanaendelea humu tupo kupiga story tu huku mambo mengine yanaendelea mazee.
 
Nakubaliana nawe. Ila nimeshangaa tu why alianza kutukana wakati mimi nlimjibu kirafiki tu. Sasa siku hizi nami hawa madogo wamenifundisha matusi. Maana wazazi wangu hawakunifundisha kabisa.
Wewe acha kujitoa ufahamu hapa,

Soma comment yangu namba #40 Niliyokuuliza maswali mawili kwa lugha ya kawaida tu,
Halafu soma comment yako namba #44 jinsi ulivyo nijibu.
 
Hii habari ingekuwa inamhusu kiongozi wa iran ungesikia maneno mengi ya majigambo kutoka kwa watoto wa yesu
 
Kuna habari ukiziona unajua kabisa hii ni Kobaz IQ!
Kobaz katika ukobaz wao spreading fake news against chuma kilichowatia adabu mashariki ya kati.
 

SAWA CHIEF NACHUKUA USHAURI WAKO WA BUSARA SANA. ISANGA UMEKAA MIAKA IPI HIYO? NLISHAWAHI FIKA HUKO KIPINDI CHA NYUMA.
 
Wewe acha kujitoa ufahamu hapa,

Soma comment yangu namba #40 Niliyokuuliza maswali mawili kwa lugha ya kawaida tu,
Halafu soma comment yako namba #44 jinsi ulivyo nijibu.

Isanga family kanishauri niachane na hizo tabia za uswazi niheshimu wazazi ambao hawakufanikiwa kunifundisha lugha chafu. Nafuata ushauri wa huyu mwamba. Ana hekima sana. Nyie madogo hatanitoa tena kwenye mstari. Nitadumu na ustaarabu na kumheshimu pia mke wangu.
 
Nilitaka niandike agrotoxins, nimekosea herufi maana g na f zinakaribiana kwenye QWERTY keyboard.

Mara kibao Kenya wanazuia mahindi kutoka Tanzania yasiende kwao yakiwa na madawa ya mashambani na kuulia wadudu. Na juu ya hilo tuwalaumu Iran?
Halafu tuna encourage watu wale Ugali WA mahindi ambayo hayaja kobolewa!! Asili mia kubwa ya Unga unao tokana na mahindi ambayo haya kukoborewa ni hatari Sana in a long term, yanasabisha cancer, hilo huwa hawalisemi ndiyo maana wenzetu WA Kenya walisha litambua siku nyingi wakapiga marufuku mahindi yetu kwenda nchini Kenya.
 
Nimesha kuambia kua Dogo ni mumeo,
Baada ya kujiona mjinga kwa ulivyonijibu kwenye comment yako #44 naona umejishtukia sasa,

Mtu mstaarabu hawezi kusubiri comment ya mtu mwingine kumwambia kua awe mstaarabu ili nae kweli awe mstaarabu,

Wewe huna ustaarabu wowote,ulivyonijibu ushenzi kwenye comment yako #44 ndio maana nikakukazia,siku nyingine jifundishe jinsi ya kudeal na watu hasa usiowajua,ukijiheshimu utaheshimiwa,ukijitoa ufahamu utakutana na watu zaidi yako.
 

Isanga family kanishauri niachane na hizo tabia za uswazi niheshimu wazazi ambao hawakufanikiwa kunifundisha lugha chafu. Nafuata ushauri wa huyu mwamba. Ana hekima sana. Nyie madogo hatanitoa tena kwenye mstari. Nitadumu na ustaarabu na kumheshimu pia mke wangu.
 
Kwisha habari yako,siku nyingine hutarudia tena kujibu wanaume kwa lugha ya hovyo,umekutana na ambacho hukutegemea,heshimu watu,comment yako # 44 inadhihirisha kua huna ustaarabu wowote ule,umejaza ujinga tu kichwani.
 
Hakuna shida maana Waisrael wanaongoza kwa hifadhi ya human organs, wachukue utumbo wa gaidi mmoja wambadilishie
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…