zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kujisahau kupo, mbona hata Israel walivamia na Hamas na intelijensia yao haikunusa mpaka watu zaidi ya 2,000 wanakufa kizembe vile.Mambo mengine yapo wazi mkuu. Rais wao alipata ajari ila Presidential Escort wakajua baada ya lisaa. Huu uzembe hata mabaunsa wa vichochoroni wabeba nondo wale wanaokodishwa na wasanii hawawezi fanya.
Kwisha habari yako,siku nyingine hutarudia tena kujibu wanaume kwa lugha ya hovyo,umekutana na ambacho hukutegemea,heshimu watu,comment yako # 44 inadhihirisha kua huna ustaarabu wowote ule,umejaza ujinga tu kichwani.
Hawajui haoFood poisoning mbona ni jambo la kawaida sana hasa kwa nchi zinazoendelea?
Ona akili za shekhe ubwabwa hiziKuna taarifa kapooza kabisa wanaficha..!!
kapata Stroke kawa kama kitoto kichanga haja zote zinakuja bila hodi!!!!!!!
Jamaaa ndio zao kufifisha jambo tumpe weeks 2 sio siku3 ndio tutajua ukweli upi. IRAN SIO POA NDUGUAisee yani sijui hata kama kingereza unaweza kukisoma na kulewa sumu ambazo tunakumbana nazo kwenye vyakura.Au umesikia ni sumu ya panya
ππππππAisee yani sijui hata kama kingereza unaweza kukisoma na kulewa sumu ambazo tunakumbana nazo kwenye vyakura.Au umesikia ni sumu ya panya
Maana nyingine ya food poisoning ni kwamba ukila kipolo kikakudhuru hiyo nayo ni food poisoning.Alikula chakula chenye sumu. Poisoned Food. Nami last week nlikula nikiwa hapa Tz.
Ametumia flagyl na amepata mapumziko kwake. Nadhani majasusi wa Iran wamefanya yao. Maana aliharisha kiasi flani kwa mujibu wa daktari wake. Kwa kweli Majasusi wa Irani wametisha.
View attachment 3413114
Yaani waziri mkuu wa Israel ale sumu chakula?Aisee yani sijui hata kama kingereza unaweza kukisoma na kulewa sumu ambazo tunakumbana nazo kwenye vyakura.Au umesikia ni sumu ya panya
Ndugu ukweli wanajua lwaisrael japo waongo waongo lkn namm natamani iwe ivyo jambo dogo!!!amekula spoiled food , sasa hiyo habari ya majasusi kumuwekea sumu umetoa wapi mzee
Imebidi tumuulize mtoa madaYaani waziri mkuu wa Israel ale sumu chakula?