Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo.

Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini Marekani. Viongozi wa mataifa ya kigeni huwa hawaalikwi rasmi, bali huwasilisha pongezi zao kupitia barua, mitandao ya kijamii, simu, au ziara za kidiplomasia baada ya hafla hiyo,

Uhalisia ni kwamba uapisho wa rais wa Marekani huchukuliwa kama shughuli ya kitaifa (domestic event), ni tofauti na nchi nyingine nyingi zikiwemo za Afrika hupenda kupeana mialiko mfano hapo juzi uapisho wa rais wa Ghana viongozi wengi wamehudhuria akiwemo Phillip mpango kwa niaba ya rais.
 
Back
Top Bottom