Netanyahu na wenzake walisema Gaza hamna njaa mpaka congress wakampigia makofi, leo analalamika kuwaona mateka wake hali zao

Lkn HAMAS wabarikiwe sana Wanajua Haki! nimewakubali ktk mipango yao msosi kwanza waliakikisha Mabint Wameshiba asa!!!! kisha ndio awa Amza kasongo!!!!!!
 
Hivi malengo ya Hamas baada ya Lile tukio la utekaji na mauaji ya raia 1200 wa Israel yametimia ?
Ndio ilikuwa mipango yao Wawakomboe Mateka wao kutoka uko kwa Magaid ya Israel
 
Hayo yote ni cha mtoto bado la wapalestina kuhamishwa Gaza kwa mboko si mulikuwa mnasema Netanyahu ni muisrael fake sasa kaja musrael original mpaka wapalestina walie mamaa.
 
Nimeuliza kuhusu kama "malengo ya Oct 7 yamefanikiwa"?.....hayo maelezo mengine ya nini Sasa?
 
Hayo yote ni cha mtoto bado la wapalestina kuhamishwa Gaza kwa mboko si mulikuwa mnasema Netanyahu ni muisrael fake sasa kaja musrael original mpaka wapalestina walie mamaa.
Una umri gani?

Tovuti za mitandao ya kijamii na watu mashuhuri nchini Marekani na ulimwenguni kote ni wabunifu katika kumdhihaki na kumdhihaki mjinga wa Marekani...

Trump amekuwa kicheko cha dunia na kuifanya Marekani kuwa nchi isiyo na hadhi wala thamani


View: https://x.com/ahlaamm___2020/status/1887943858622705940?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hiii ndio FITINA Paka na nyau mtoto!! wapo OK lkn Kamanda anaelinda ardhi na mipaka! ndio ivyo katelekezwa na Paka uko GAZA akiwa hoi bin Taaban! kwa njaaa!!! Safi sana wametaka kuwauwa njaa Raia w Palestina lkn Wangekufa na IDF asa wakiume!!!!!
 
Inakuwaje mateka wafe kwa njaa halafu waliowashikilia hawajapata madhara yoyote
Ndio msos walishiba wao na mateka Wakike awa wengine Amza kasongo Watakula Sawa na raia Wapalestina vile Wanateseka Sababu Wanaume ndio Wapanga mipango uko Israel

l sio Wanawake ivo IDF Wakiume Wanavuna Walichopanda!!!! Tumeona ata waliokuwa Wanazuiya misaada isiwafikie Watu Wa Gaza sio kike ni kiume!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…