Ugumu wa kuelewa uko wapi hapo mkuu...
Sentensi ya Mpaka mwisho wa mkoa wake ndio iliyomiss kwenye taarifa yangu...
Watanganyika tunaelewa kiwepesi sana,,, nafikiri ni wakutuelewesha ndio tatizo.
Hata ukiwa seriously still Jamii itakuvuta usiwe smart.Na hatokuja fanya serious
Tatizo SIO speed pekee tatizo hii T1 imeshachoka we need a new one!hii barabara imejengwa na awamu ya kwanza ya utawala wetu..more than 50yrs ago..tuibomoe na Dar to Mbeya ni kama 850km huu ni mwendo wa chini ya 9hrs kwa bus...Kapiri Mposhi to Nakonde ni kama umbali huu Power Tool akupigia 8 to 9 hrs!!na wenzetu zambia kutokea pale nakonde to mpika wanatandaza mkeka mpya...sisi tuendelee kulala na kulalamika humu.
Dar -mbeya mbali mkuuMwendokasi unaua ila Mbeya-Dar mbali nyie dereva asiponyosha goti mnafika keshokutwa. Pole yao
Dar -mbeya mbali mkuu
Dar- simiyu
Dar - mwanza
Dar-bukoba
Dar- kigoma
Dar-musoma
Jeee
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Infact ilianzia toka huko Iyovi mpaka Igawa, nakumbuka tulikuwa tunaganda sana wakati wnapasua yale mawe kujenga hicho kipande, mnapita upande mmoja mmoja. Sema kule Iyovi wanapanua zaidi barabara na kutafuta climbing lane baadhi ya maeneo, zile tuta baada ya Ruaha Mbuyuni unaweza kupanda hata na 100km/hr zimenyooka balaaMara ya mwisho umepita lini hii njia?
Kuanzia Igawa hadi Kitonga ni mkeka mpya wa nguvu. Kule Iyovi bado ukarabati unaendelea.
Nenda kagalegale pale chato kaburiniBila kutubu, damu ya mwendazake haitotuacha salama.
Itakuwa mmoja wao ni yule aliyekamatwa Iringa na rushwa ya karibia laki na nusu kuanzia asubuhi mpaka saa nne.. Yaani kazichanga buku, elfu mbili na elfu tano nyingiiiKwani wale Askari wasindikizaji wapo wapi au ilikuwa nguvu ya mbege?
Damu yake iwe juu yao na familia zao.Bila kutubu, damu ya mwendazake haitotuacha salama.
Zile gemilang walizipiga mawe zikiwa mpya kisa unazi haya sasa na nyie mmejikwaa kwa peupeeTumeitoa bandarini juzi tu zhongtong new model
Infact ilianzia toka huko Iyovi mpaka Igawa, nakumbuka tulikuwa tunaganda sana wakati wnapasua yale mawe kujenga hicho kipande, mnapita upande mmoja mmoja. Sema kule Iyovi wanapanua zaidi barabara na kutafuta climbing lane baadhi ya maeneo, zile tuta baada ya Ruaha Mbuyuni unaweza kupanda hata na 100km/hr zimenyooka balaa
Uunavaa chupi ya mzazi wakoHIZO NI NUKS ZA CHADEMA KABISAAA
Usiku utumie masaa 11? Mchana utatumia mangapi sasa?Night shift matumizi ya taa muhimu sana.
Na spidi zake unapunguza kidogo lakini Mbeya- Dar masaa 11/12, na hakuna usumbufu.
Endesha kwa tahadhari mkuu, usiku advantage yake ni tochi hakuna hivyo unaweza piga 80-150km/hr bila taabu.Usiku utumie masaa 11? Mchana utatumia mangapi sasa?
Mbona sioni utofauti wowote?
Matapishi haya 🚮🚮Bila kutubu, damu ya mwendazake haitotuacha salama.
Duu hatari sanaItakuwa mmoja wao ni yule aliyekamatwa Iringa na rushwa ya karibia laki na nusu kuanzia asubuhi mpaka saa nne.. Yaani kazichanga buku, elfu mbili na elfu tano nyingiii
Tunahamasishwa tutumie Air Tanzania kibabe.Poleni sana tuchukue tahadhari
Km Taifa tujitafakari lazima kuna kitu hakipo sawa