New Force yapata Ajali Tanangozi Iringa

New Force yapata Ajali Tanangozi Iringa

Ugumu wa kuelewa uko wapi hapo mkuu...

Sentensi ya Mpaka mwisho wa mkoa wake ndio iliyomiss kwenye taarifa yangu...

Watanganyika tunaelewa kiwepesi sana,,, nafikiri ni wakutuelewesha ndio tatizo.

Now you know.

Kamanda alisema hilo toka siku ya kwanza.
 
Na hatokuja fanya serious
Hata ukiwa seriously still Jamii itakuvuta usiwe smart.
Mfano cheki waliorudi toka Ulaya watakwenda kiulaya ulaya siku za mwanzo mwanzo at the end wanajikuta wanacopy.
Mfano umepanga mkutane saa 6 watu uja saa 8
 
Tatizo SIO speed pekee tatizo hii T1 imeshachoka we need a new one!hii barabara imejengwa na awamu ya kwanza ya utawala wetu..more than 50yrs ago..tuibomoe na Dar to Mbeya ni kama 850km huu ni mwendo wa chini ya 9hrs kwa bus...Kapiri Mposhi to Nakonde ni kama umbali huu Power Tool akupigia 8 to 9 hrs!!na wenzetu zambia kutokea pale nakonde to mpika wanatandaza mkeka mpya...sisi tuendelee kulala na kulalamika humu.
 
Hizi ajali zimerudi kwa kasi.. ving'amuzi viliondolewa??? Madereva wetu bila kudhibitiwa watatuua. Hawako responsible
 
Tatizo SIO speed pekee tatizo hii T1 imeshachoka we need a new one!hii barabara imejengwa na awamu ya kwanza ya utawala wetu..more than 50yrs ago..tuibomoe na Dar to Mbeya ni kama 850km huu ni mwendo wa chini ya 9hrs kwa bus...Kapiri Mposhi to Nakonde ni kama umbali huu Power Tool akupigia 8 to 9 hrs!!na wenzetu zambia kutokea pale nakonde to mpika wanatandaza mkeka mpya...sisi tuendelee kulala na kulalamika humu.

Mara ya mwisho umepita lini hii njia?

Kuanzia Igawa hadi Kitonga ni mkeka mpya wa nguvu. Kule Iyovi bado ukarabati unaendelea.
 
Mara ya mwisho umepita lini hii njia?

Kuanzia Igawa hadi Kitonga ni mkeka mpya wa nguvu. Kule Iyovi bado ukarabati unaendelea.
Infact ilianzia toka huko Iyovi mpaka Igawa, nakumbuka tulikuwa tunaganda sana wakati wnapasua yale mawe kujenga hicho kipande, mnapita upande mmoja mmoja. Sema kule Iyovi wanapanua zaidi barabara na kutafuta climbing lane baadhi ya maeneo, zile tuta baada ya Ruaha Mbuyuni unaweza kupanda hata na 100km/hr zimenyooka balaa
 
Kwani wale Askari wasindikizaji wapo wapi au ilikuwa nguvu ya mbege?
Itakuwa mmoja wao ni yule aliyekamatwa Iringa na rushwa ya karibia laki na nusu kuanzia asubuhi mpaka saa nne.. Yaani kazichanga buku, elfu mbili na elfu tano nyingiii
 
Infact ilianzia toka huko Iyovi mpaka Igawa, nakumbuka tulikuwa tunaganda sana wakati wnapasua yale mawe kujenga hicho kipande, mnapita upande mmoja mmoja. Sema kule Iyovi wanapanua zaidi barabara na kutafuta climbing lane baadhi ya maeneo, zile tuta baada ya Ruaha Mbuyuni unaweza kupanda hata na 100km/hr zimenyooka balaa

Exactly. Huyu jamaa hajui anachozungumza.
 
Night shift matumizi ya taa muhimu sana.
Na spidi zake unapunguza kidogo lakini Mbeya- Dar masaa 11/12, na hakuna usumbufu.
Usiku utumie masaa 11? Mchana utatumia mangapi sasa?

Mbona sioni utofauti wowote?
 
Usiku utumie masaa 11? Mchana utatumia mangapi sasa?

Mbona sioni utofauti wowote?
Endesha kwa tahadhari mkuu, usiku advantage yake ni tochi hakuna hivyo unaweza piga 80-150km/hr bila taabu.
Lakini matuta yako palepale, na kwenda spidi zaidi ni hatari kubwa sana kwako.
Moja ni malori yaendayo polepole na hayana taa nyuma, na mbili gari zilizo haribika pembeni.
Hizi ajali mbaya hutokea hasa kama kuna gari mbele, na limekupiga full light.

Majuzi karibu nipate mzinga mzito saa saba usiku pale Mikumi.
Kulikuwa na mbogo kama sita barabarani, rangi yao sawa tu na rangi ya lami usiku.
Sikuwa spidi kali lakini kusimama ilibidi kuchuna breki.
Mmoja karibu anigeukie lakini mchuno wa breki, taa na kusimama karibia mita 15 ilisaidia na wakakimbia.

Usiku spidi zako tu lakini chukua tahadhari.
Miaka ile, hakuna tochi , malori wala matuta, stretch hiyo ilikuwa 8-9 hrs, tena kwa pick up.
 
Back
Top Bottom