Uvivu wa kilimoHallelujah,
Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility.
As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na kutulia kwenye wito wake.
Pia nitakuambia changamoto unazokabiliana nazo na suluhisho la Kimungu.
Hii huduma ni bure. Sihitaji sadaka ya mtu, nina kipato kinachonitosha.
Niwekee tarehe yako na mwezi uliozaliwa kisha niache Mimi nipekenyue maisha yako.
Note: saa 1 kamili usiku leo nafunga ukurasa.
08:02 .
MADA IMEFUNGWA.
Mbarikiwe wote
11 tu ndiyo hawa wanaitwa wasiojulikana nini kifanyike ili tukawatembezee mbokoKundi la watekaji wapo 11
Am coming23 March
Wanaoogopa au ndiyo wanaitumia Freemason na inasemekana ni miongoni mwa namba zao takatifu.Septemba 13
Halafu niambie ni kwa nini wachawi, freemason, watu waovu n.k huwa wanaiogopa sana namba 13?
11/4Hallelujah,
Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility.
As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na kutulia kwenye wito wake.
Pia nitakuambia changamoto unazokabiliana nazo na suluhisho la Kimungu.
Hii huduma ni bure. Sihitaji sadaka ya mtu, nina kipato kinachonitosha.
Niwekee tarehe yako na mwezi uliozaliwa kisha niache Mimi nipekenyue maisha yako.
Note: saa 1 kamili usiku leo nafunga ukurasa.
08:02 .
MADA IMEFUNGWA.
Mbarikiwe wote
Jambo jipya linahusu nini dadavua kidogo tafadhaliKuna jambo jipya linakuja . Msubiri Mungu, liko karibu sana. Sana
🤔11 tu ndiyo hawa wanaitwa wasiojulikana nini kifanyike ili tukawatembezee mboko
What should it be done to vanish them in a thin air
Jambo jipya linahusu nini dadavua kidogo tafadhali
Ongeza ongeza maelezo kidogoUkitaka kuanzisha jambo lako utakutana na changamoto na ili uzitatue. Ziba masikio.
Tuishie hapo
Ipi?Kuna wito wa Kimungu ndani yako.
Ni kama unajua ila huna uhakika but Mungu anakuthibitishia sasa. Una huduma moja kati ya huduma 5 za Kristo
Yes.manabii wa siku hizi bhana😂😂 kumbe Kuna freestyle prophecy.
Forget everything that hearted you .8/10