Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

From the internet digital footprint / archive

26 March 2021
Kampala Uganda

Spotlight on Magufuli's Leadership style | Frontline seg1

Source : Next Media Uganda
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa

View attachment 1738931

Kesho saa 3 unusu usiku
Kama ilivyokuwa 2015 kwa JPM ,sasa hivi tena Chadema wako bize kumsifia, kumfundisha na kumpa maelekezo mbalimbali Rais Samia bila kujua kuwa huyo ni rais anayetokana na ccm na anatekeleza ilani ya ccm.

Godbless Lema ,Tundu Lisu hawazungumzii kabisa maendeleo ya chadema wao ni bize kumpangia cha kufanya rais Samia. !

Tundu Lisu ni kaimu mwenyekiti wa chadema lakini hutakaa usikie akiiongelea wala kuitangaza chadema popote. Kwani haoni kaimu mwenyekiti wa ccm Philip Mangula anavyokinadi chama chake?

Tundu Lissu ni mtanzania lakini hutakaa usikie popote akizungumzia mazuri ya nchi yake ,yeye ni kuchafua tu nchi yake.
 
Mangula huyu huyu aliyepewa sumu na uchunguzi ukazimwa ndio anakinadi chama ?
 
Kwa mlio na shaka na STAR TV kuwa wanaweza kuvuruga kipindi hiki tokana na Tundu Lissu kusema pande zote za Jiwe a.k.a Hayati John Pombe Magufuli (uzuri & ubaya wa utawala wake),

Basi unaweza kutazama kipindi hiki moja kwa moja toka VOA TV wenyewe kupitia ving'amuzi vya DsTV, Azam, Zuku nk
 
Star Tv wanao uhuru huo wa kumrusha Lissu live?Au ni',Kila zama na kitabu chake?''Ingekuwa vizuri tufahamu pia kama watarusha pia You tube,in case kama chochote kitatokea!
Kila wakati tutakuwa tunakata matangazo wakati Lissu anaongea ili kumpa nafasi zaidi Lumumba.
 
Aibu kubwa sana hii yani mkenya anaenda kutetea mazuri yaliyofanywa katika nchi yako lakini wewe na akili zako timamu unaanda maneno ya kwenda kukashifu nchi yako uliyozaliwa.

Huyu jamaa TL naamini hata familia yake binafsi itakuwa inampuuza kinamna namna.
 
Punguza wivu bbe
Kama ilivyokuwa 2015 kwa JPM ,sasa hivi tena Chadema wako bize kumsifia, kumfundisha na kumpa maelekezo mbalimbali Rais Samia bila kujua kuwa huyo ni rais anayetokana na ccm na anatekeleza ilani ya ccm.

Godbless Lema ,Tundu Lisu hawazungumzii kabisa maendeleo ya chadema wao ni bize kumpangia cha kufanya rais Samia. !

Tundu Lisu ni kaimu mwenyekiti wa chadema lakini hutakaa usikie akiiongelea wala kuitangaza chadema popote. Kwani haoni kaimu mwenyekiti wa ccm Philip Mangula anavyokinadi chama chake?

Tundu Lissu ni mtanzania lakini hutakaa usikie popote akizungumzia mazuri ya nchi yake ,yeye ni kuchafua tu nchi yake.
 
Kila wakati tutakuwa tunakata matangazo wakati Lissu anaongea ili kumpa nafasi zaidi Lumumba.
Hata mkikata matangazo ni kazi bure maana hata lugha mavilaza ya CCM hayajui lakini ulimwengu wa wasomi utamsikiliza na kushangaa Msukuma ameondoka vilaza wenzake wasiojua Kingereza bado wamebaki Serikalini. Wala haijulikani wataongea nini kuhusu nchi gani ya Afrika lakini kama ni kuhusu Tanzania basi inaeleweka watakuwa wamekosa mtu toka humu ndani wakaalika toka Nchi jirani.
 
Aibu kubwa sana hii yani mkenya anaenda kutetea mazuri yaliyofanywa katika nchi yako lakini wewe na akili zako timamu unaanda maneno ya kwenda kukashifu nchi yako uliyozaliwa.

Huyu jamaa TL naamini hata familia yake binafsi itakuwa inampuuza kinamna namna.
Huwa "anakashifu" nchi au mtu? Kama kweli anakashifu!
 
sawa tutamsikiliza lakini mwambieni arudi kwao, bado analazimisha ukimbizi tu!!

Huwa wana kata matangazo wakipelekewa moto.

Itapendeza kama awamu ya 6 watakuwa wangeachana na ujima huo. Hii tukiwa na imani kuwa hata wale waliokanyagana Uhuru mzimu wa bwana yule ulikuwa bado una tamalaki.
 
Back
Top Bottom