Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

Star Tv wanao uhuru huo wa kumrusha Lissu live?Au ni',Kila zama na kitabu chake?''Ingekuwa vizuri tufahamu pia kama watarusha pia You tube,in case kama chochote kitatokea!
Uko sahihi, star tv watapigwa pin, best option ni youtube
 
Aibu kubwa sana hii yani mkenya anaenda kutetea mazuri yaliyofanywa katika nchi yako lakini wewe na akili zako timamu unaanda maneno ya kwenda kukashifu nchi yako uliyozaliwa.

Huyu jamaa TL naamini hata familia yake binafsi itakuwa inampuuza kinamna namna.
Kwa akili hizi haihitaji mashaka kujua kuwa mtoa post(wewe) ulibemendwa utotoni.
Hauko sawa kichwani
 
..sijui kwanini serikali au mataga hawakutuma watu wao.

..labda Prof.Lumumba atakuwa amelipwa, kwasababu inaeleweka wakati mwingine huwa analipwa ili asifie watu fulani.

Hapana unamsingizia tu,Prof Lumumba amekuwa pro JPM way back b4 his passing.Tukubaliane kutokubaliana hapa mizani ya mjadala haitabalance kwakuwa tu mmoja ni Mtanzania na mwingine ni Mkenya,lkn naamini ktk hoja kwa hoja,kila kitu kitakwemda sawa.
 
Ideology (Lumumba) v/s personal attacks, character assasination, matusi (lisu), wapi na wapi?
Huyo lafa uwezo wake wa kuchambua ideology ni zero!
 
..sijui kwanini serikali au mataga hawakutuma watu wao.

..labda Prof.Lumumba atakuwa amelipwa, kwasababu inaeleweka wakati mwingine huwa analipwa ili asifie watu fulani.

Pangenoga zaidi kama kipindi hiki mubashara ktk televisheni kungekuwepo uwakilishi wa aina tatu yaani Tundu Lissu mtu huru, Balozi Wilson Masilingi au Prof Palamagamba Kabudi upande wa serikali na PLO Lumumba akiwakilisha diaspora ya Waafrika mashabiki wa Magufuli wasiojua mapungufu ya Magulification.

Hata hivyo pamoja ya kuwa ni kama vile serikali ya CCM imekacha na imekodisha mtu toka nchi jirani, StraightTalk Africa wanastahili pongezi kwa kuandaa pambano hili la nguvu ya hoja ktk uwanja neutral.
 
Hapana unamsingizia tu,Prof Lumumba amekuwa pro JPM way back b4 his passing.Tukubaliane kutokubaliana hapa mizani ya mjadala haitabalance kwakuwa tu mmoja ni Mtanzania na mwingine ni Mkenya,lkn naamini ktk hoja kwa hoja,kila kitu kitakwemda sawa.

..Ni kweli Prof.Lumumba ni mmoja wa wasomi ambao ni pro Magufuli.

..kuna interview moja Prof Lumumba alimruka / alimkana Magufuli baada ya kuwa challenged kuhusu rekodi mbaya ya Magufuli kwenye masuala ya demokrasia na haki za binadamu.

..Sidhani kama Prof.Lipumba atajilipua na kumsifu na kumtetea Magufuli kama ambavyo wa-ccm [ dr.abbas, prof.kabudi] wangemtetea iwapo wangealikwa ktk hiyo talk show.

..Prof.Lumumba ana " brand " yake ambayo atapenda ailinde. Kwa msingi huo sitegemei Prof.Lumumba atakwenda kumrarua na kumsagasaga Tundu Lissu ktk jukwaa ambalo liko sympathetic kwa Lissu.

..Mimi nadhani mjadala huo utakuwa wa " nipe, nikupe " , ambapo wachangiaji watachangia kwa kuheshimiana. Pia nategemea moderator ataudhibiti mjadala ikiwa hutatokea dalili za mjadala kuvurugika.
 
Aibu kubwa sana hii yani mkenya anaenda kutetea mazuri yaliyofanywa katika nchi yako lakini wewe na akili zako timamu unaanda maneno ya kwenda kukashifu nchi yako uliyozaliwa.

Huyu jamaa TL naamini hata familia yake binafsi itakuwa inampuuza kinamna namna.
Acha 16 ushawahi pigwa risasi tu? Au ushawahi pigwa hata na jiwe tu? Tena unapigwa ukiwa nyumbani kwako
 
..tatizo la Lissu ni kwamba he is one dimensional, yaani yeye ni MPAMBANAJI muda wote.

..huyu ni mtu ambaye ameshambuliwa akakaribia kufa. Wakati mwingine ilitakiwa alalamike, anung'unike, alie, ili aonewe HURUMA.

..sasa hiyo nature yake imewafanya baadhi yetu kuona kilichomtokea Tundu Lissu kama ni jambo la kawaida.

..Naamini hatujapata picha halisi ya nini kilimtokea Tundu Lissu; mapito na machungu aliyokutana nayo, na jinsi alivyopambana.
umeandika kwa uzito mno !
 
Wakati upi mgumu?
Subili hapo hakuna wakupiga makofi wala kuzomea. Hoja to hoja.
Prof Lumumba anauwezo mkubwa sana wa kujenga hoja intellectually ... Shida nayoiona ni kuwa Crash ya hawa wawili ni obvious Prof ataondoka na ushindi kihoja kutoka kwa Pan Africanists across the globe.

Na Kosa kubwa naloliona ni TAL kutumia dhahama aliyoipitia kutafuta simpathy.. kwa Pan Africanists uzungu wowote ni shida.. biashara nao, chanjo zao, elimu yao, dini zao..nk

Na hivi Karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la uzindukaji wa dhana hii, kitu ambacho kimempa umaarufu mkubwa sana late Magufuli. Kwenye mjadala huu, itakuwa ni profesa aliyepoteza baba na kukimbia nchi kutokana na influence ya wazungu na waafrika vibaraka... Na Mtanzania anayeamini katika kufoster a healthy relationship kati ya wazungu na waafrika..

All in all it will be all fun, inspiring and a must to watch.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
..tatizo la Lissu ni kwamba he is one dimensional, yaani yeye ni MPAMBANAJI muda wote.

..huyu ni mtu ambaye ameshambuliwa akakaribia kufa. Wakati mwingine ilitakiwa alalamike, anung'unike, alie, ili aonewe HURUMA.

..sasa hiyo nature yake imewafanya baadhi yetu kuona kilichomtokea Tundu Lissu kama ni jambo la kawaida.

..Naamini hatujapata picha halisi ya nini kilimtokea Tundu Lissu; mapito na machungu aliyokutana nayo, na jinsi alivyopambana.
Nimeona Lisu leo amejipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lisu ni makamu mwenyekiti hewa wa Chadema mnalipa mshahara wa bure
 
Kwa mlio na shaka na STAR TV kuwa wanaweza kuvuruga kipindi hiki tokana na Tundu Lissu kusema pande zote za Jiwe a.k.a Hayati John Pombe Magufuli (uzuri & ubaya wa utawala wake),

Basi unaweza kutazama kipindi hiki moja kwa moja toka VOA TV wenyewe kupitia ving'amuzi vya DsTV, Azam, Zuku nk
Dstv channel no ngapi?
 
Nimeona Lisu leo amejipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lisu ni makamu mwenyekiti hewa wa Chadema mnalipa mshahara wa bure
kwa Lisu nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi usitafute huruma kwa mgongo wa Lumumba,Lisu ni mzalendo halisi Mtanzania siyo mnafiki
 
Back
Top Bottom