Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Waalimu Wako walipata adhabu kubwa kukuelewesha.Wapi itaoneshwa?
Saa ngapi?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waalimu Wako walipata adhabu kubwa kukuelewesha.Wapi itaoneshwa?
Saa ngapi?
Hawa natabiri watakatisha na kuweka matangazo kila atakapoongea Msingida.Star tv
Mkuu mbona moto utawaka,mh lissu,wakati anagombea Urais chama Cha wanasheria rafiki zangu ni wanasheria siku tunabadilishana mawazo walisema ,achana na yule bwana alitema lugha ya malkia sio ya dunia hii,kwamba wao wanadai maneno mengine yalihitaji kamsi,so waheshimiwa tunao ndani ya jf wanaweza sema sio kweli
Mchaga na mpare wanawadharau sana waluguru nadhani hata kitaifa hili ni kabila dhaifu.Aibu kubwa sana hii yani mkenya anaenda kutetea mazuri yaliyofanywa katika nchi yako lakini wewe na akili zako timamu unaanda maneno ya kwenda kukashifu nchi yako uliyozaliwa.
Huyu jamaa TL naamini hata familia yake binafsi itakuwa inampuuza kinamna namna.
Lissu atahemkwa kweli hiyo kesho
Wakati upi mgumu?
Subili hapo hakuna wakupiga makofi wala kuzomea. Hoja to hoja.
Mkalimani yule yule aliyetema cheche Dodoma ?Hayo mayai yatakayotemwa humo...
Maana PLO anae misifa kweli...
Naombeni no ya mkalimani
Wanasema STAR TV , lakini kama huna imani na TCRA angalia VOAChannel gn?
Star Tv wanao uhuru huo wa kumrusha Lissu live?Au ni',Kila zama na kitabu chake?''Ingekuwa vizuri tufahamu pia kama watarusha pia You tube,in case kama chochote kitatokea!
Mwana kulitaka mwana kulipata , huyu lumumba mwacheni Kiherehere kimponzeHuu mjadala sidhani kama una mizania sawa...
Lissu ni mwenye kumjua zaidi Magufuli na serikali ya JMT kuliko Lumumba...
Labda kama utakuwa mjadala wa kawaida usiohitaji washiriki kuweka bayana vielelezo kadha wa kadha...
Sent from my Nokia 5.4 using JamiiForums mobile app
Nyie mfanyiwe Nini ili mkubali kua nyie ni nyumbu tu na hamto badilika chadema mnasubir kumnenepesha ngombe wakat wa kampen [emoji26][emoji26]Kama ilivyokuwa 2015 kwa JPM ,sasa hivi tena Chadema wako bize kumsifia, kumfundisha na kumpa maelekezo mbalimbali Rais Samia bila kujua kuwa huyo ni rais anayetokana na ccm na anatekeleza ilani ya ccm.
Godbless Lema ,Tundu Lisu hawazungumzii kabisa maendeleo ya chadema wao ni bize kumpangia cha kufanya rais Samia. !
Tundu Lisu ni kaimu mwenyekiti wa chadema lakini hutakaa usikie akiiongelea wala kuitangaza chadema popote. Kwani haoni kaimu mwenyekiti wa ccm Philip Mangula anavyokinadi chama chake?
Tundu Lissu ni mtanzania lakini hutakaa usikie popote akizungumzia mazuri ya nchi yake ,yeye ni kuchafua tu nchi yake.
Hata Chato hujafika unaomboleza unafiki?
Star tv
Hapa wa kupanic anajulikana mbona,ngoja kesho apewe darasa na misamiati ya kutosha. Prof Lumumba hoyeee[emoji3][emoji3]
You can watch KTN NEWS also, from Nairobi KenyaHawa natabiri watakatisha na kuweka matangazo kila atakapoongea Msingida.
Everyday is Saturday............................... 😎