Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
..tatizo la Lissu ni kwamba he is one dimensional, yaani yeye ni MPAMBANAJI muda wote.
..huyu ni mtu ambaye ameshambuliwa akakaribia kufa. Wakati mwingine ilitakiwa alalamike, anung'unike, alie, ili aonewe HURUMA.
..sasa hiyo nature yake imewafanya baadhi yetu kuona kilichomtokea Tundu Lissu kama ni jambo la kawaida.
..Naamini hatujapata picha halisi ya nini kilimtokea Tundu Lissu; mapito na machungu aliyokutana nayo, na jinsi alivyopambana.
Kwa angle hii nimekuelewa. Acha tusubiri mjadale wenyewe,pengine tutapata picha halisi ya unachokiongea hapa.