Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

Wewe unataka arushe ili iweje? anzishe tv yako au ile yenu ya CCM TBC-CCM na channel ten
 
Mkuu nakubaliana na wewe. Kama Radioni tu, wanakata hata visehemu vya taarifa ya habari ambayo walikuwa hawajui kitasemwa nini, sembuse hicho kipindi ambacho wanajua kitakacho ongelewa!
Upo sahihi. Hii ndio media iliyoamua kujitia kamba za miguu, mikono, mdomo, fikra na kuamua kufanya kazi kitumwa halisi.
 
Naona beberu mwenye akili kakutanishwa na Mwafrika mwenye akili!!sijui itakuwaje?
 
Akili za kindondocha
 
Aibu hakuona mnafiki na mwizi aje some TL!?
 
Ndiyo. Ni mfuasi lia lia. Alialikwa hadi Ikulu na Nduli na kumpa zawadi na alikuwa mbioni kupewa Uraia wa Tanzania. Professor mzima anajikomba kwa watawala makatili.
Ni kashnz tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…