Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

Mama Samia alisema tufutane machozi. Hapo kinachotakiwa ni kumuuliza huyo anayelia, ni nini kinamliza. Kwa hiyo hata Lissu kwa yote hayo asemayo ni kwamba ana kilio kikubwa nafsini mwake kwa yule aliyemtenda jeuri ya kumpiga risasi au kuagiza apigwe risasi. Cha msingi siyo kumshangaa bali kukaa naye na kumuuliza anafikiri afutwajwe machozi. Ana maumivu makali sana moyoni kwa zile risasi. Uzuri ni kwamba mama Samia alikwenda hadi Hospitali Nairobi Kenya kumjulia hali Lissu.
 
Mbaya zaidi na kilaza utasikiliza eti!
Kwanin nisisikilize?!sema ntakuhitaji wewe mwerevu ili unifafanulie lugha ya malkia!!!!
Wote nawaelewa sielewi nimshabikie nan kati yao,Ila nahisi Kuna vitu watakubaliana Ila vingi watatofautiana!!!
 

..Ni kwasababu waliojaribu kumuua Lissu ni Watanzania wenzetu.

..Waliomnyima matibabu ma haki zake bungenii Watanzania wenzetu.

..Wanaokataa kuchunguza na kuwakamata wahusika wa tukio lile ni Watanzania wenzetu.

..Wahusika wa hayo niliyoyataja hapo juu ndio wanaochafua taswira ya nchi yetu.

..Lissu hana makosa yoyote, anachokilalamikia kinajulikana kila pembe ya dunia. Jambo la kujiuliza ni kwanini hatendewi haki?
 
Wewe hapa ni mazuri mangapi ya nchi yako umeandika.

Kumsifu nduli ndiyo yalikuwa mambo mazuri ya nchi yako.

Shule umesomea upumbavu.
 
JAMANI NIONE WAPI MAHOJIANO???? STAR TV HAKUNA KITU WAPIIIII
 
Tundu Lisu ni kaimu mwenyekiti wa chadema lakini hutakaa usikie akiiongelea wala kuitangaza chadema popote.


"Kizuri chajiuza kibaya chajitangaza/chajitembeza"

----- si tumeona uchaguzi mkuu uliopita bila ya wizi na uhalifu wa kura kamwe CCM isingepita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…