stevenkatalas
Member
- May 24, 2022
- 47
- 31
MKUU YAANI PGSS 4 IWE 1.2M HALAFU PGSS 6 IWE 1.1951,195,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU YAANI PGSS 4 IWE 1.2M HALAFU PGSS 6 IWE 1.1951,195,000
PGSS 4 ni 852,000MKUU YAANI PGSS 4 IWE 1.2M HALAFU PGSS 6 IWE 1.195
Mimi nipo kwenye taasisi wanayolipa kwa scale hizoNA HII 1.2 JAMAA KAITOA WAPI NA WEWE SOURCE YAKO NI IPI ?
Kaka nimeweka salary slip hapo kama ushahidi wa ninachokisema, sifikirii kama kuna umuhimu wowote wakujua taasisi nayofanyia kazi. PGSS 7 ni 1.3MTAASISI GANI? NA JE PGSS 7 JE NI NGAPI
Umeshawahi kufuatilia scale za TGS Lakini?IPO CHINI NDIO POSHOSI ZIPO LAKINI
Ok posho zipo ila inategemea na shughuli za taasisiSCALE ZA TGS NDIO NDOGO ZAIDI NAFAHAMU
Ndiyo zipoKWA MFANO NI MECHANICAL ENGINEER POSHO ZIPO
1.4MHabari naomba kujua Mshahara wa
Assistant to Academician. (Degree holder)
Asante Mkuu hii ndo PUSS 6?1.4M
NdiyoAsante Mkuu hii ndo PUSS 6?