Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Nyongeza imekuwa tabu....Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
Mwaka hadi mwaka....mbona enzi za msoga maisha ya mfanyakazi hayakuwa magumu hivi?