Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Samahani hivi mshahara office attendant kwenye taasisi ya kiserikali huwa Ina range ngapi ukiondoa Makati yote ( Net)
 
Waungwana samahani na mimi naomba kuuliza kwa mtu mwenye mshahara ngazi ya tgts D3 anapokea kiasi gani baada ya makato yote
 
Back
Top Bottom