Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Mishahara mipya july(ongezeko).
TGTS A1 546,000
TGTS B1 694.000
TGTS C1 782,500
TGTS D1 839,000
TGTS E1 1,219,000
TGTS F1 2,553,000
TGTS G1 2,970,000
TGTS H1 3,284,000
TGTS I1 3,665,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH - KKM-CWT.SASA WALIMU KAJENGE ACHENI KUPANGSHA VILABUN. HILI LITHIBITISHE. Naomba maoni yako mzee

Acha ujuha,suala lolote linalohusu mishahara unaona inawahusu walimu, kwa nini usieme ya TRA?
 
Mishahara mipya july(ongezeko).
TGTS A1 546,000
TGTS B1 694.000
TGTS C1 782,500
TGTS D1 839,000
TGTS E1 1,219,000
TGTS F1 2,553,000
TGTS G1 2,970,000
TGTS H1 3,284,000
TGTS I1 3,665,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH - KKM-CWT.SASA WALIMU KAJENGE ACHENI KUPANGSHA VILABUN. HILI LITHIBITISHE. Naomba maoni yako mzee

Acha uongo wako mkuu....kumbuka kwamba Hawa Ghasia aliwahi kuwaambia walimu kwamba kama wanataka mishahara mikubwa wangechagua kazi nyingine......hii maana yake ni kwamba hata serikali imekariri kwamba walimu sio wa kulipwa mishahara minenen hata siku moja kwa sababu eti IDADI YAO NI KUBWA! What a f**k excuse from the shit government!
 
Mkuu mbona umeweka wazi mishahara ya walimu tu? Tuwekee na ya watumishi wengine wa serikali tufanye comparzn'
 
Ni haki yao walimu...wamedhalilishwa sana,wamesemwa sana,sasa mwezi wa saba utabadilisha historia ya mwl wa tz
 
Mishahara mipya july(ongezeko).
TGTS A1 546,000
TGTS B1 694.000
TGTS C1 782,500
TGTS D1 839,000
TGTS E1 1,219,000
TGTS F1 2,553,000
TGTS G1 2,970,000
TGTS H1 3,284,000
TGTS I1 3,665,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH - KKM-CWT.SASA WALIMU KAJENGE ACHENI KUPANGSHA VILABUN. HILI LITHIBITISHE. Naomba maoni yako mzee
Mkuu hii mishahara ya TZ hii au??
 
Back
Top Bottom