Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Mishahara mipya july(ongezeko).
TGTS A1 546,000
TGTS B1 694.000
TGTS C1 782,500
TGTS D1 839,000
TGTS E1 1,219,000
TGTS F1 2,553,000
TGTS G1 2,970,000
TGTS H1 3,284,000
TGTS I1 3,665,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH - KKM-CWT.SASA WALIMU KAJENGE ACHENI KUPANGSHA VILABUN. HILI LITHIBITISHE. Naomba maoni yako mzee


Acha uzushi kijana!
 
Anaestahili kulipwa 546' 000 na anaestahili 3'284'000 Wote uhitaji wao muhim unakingana KWANINI tofauti iwe kubwa kiasi hicho
 
tuchague rais yule mwenye kipara mishahara hiyo itawezekana..
 
Hiyo mishahara ni ya Marekan wewe! Tanzania ya CCM dah hata miaka 2,00 never!
 
Nyinyi Akili Zenu Pungufu, Mlidai Mtagoma Hadi Leo Hakuna,sk Ya Mgomo Wengine Unawakuta Wapo Ofisini,leo Et Mnataka Mishahara Ipande!

Mbaya Zaidi Uchaguzi Ukifika Mnageuka Kuwa Wakala Wa Chama Cha Hawa Majambazi Hatari Kabisa Kwa Maisha Yenu, Mi Nasema Mnyonywe Sana Pengine Akili Zitawarejelea!
 
Huu

Mishahara mipya july(ongezeko).
TGTS A1 546,000
TGTS B1 694.000
TGTS C1 782,500
TGTS D1 839,000
TGTS E1 1,219,000
TGTS F1 2,553,000
TGTS G1 2,970,000
TGTS H1 3,284,000
TGTS I1 3,665,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH -

uongo kabisa
 
TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014. usikope
 
TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014. usikope

vote gani yenye blue,
 
Back
Top Bottom