Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 58
mwajiriwa mpya?!!!
kwani utumishi wameshatoa majina ya waliofaulu usahili wa maafisa tawala uliofanyika tarehe 20 june?!
Yeye anaitwa Julius Membe, wewe unaitwa nani?
ndugu wana bodi, anayeuliza ni mwajiriwa mpya serikalini ofisi ya mkuu wa mkoa kama afisa tawala,mshahara wake ni TGSD1,je hii ni sawa na shilingi ngapi kwa mwezi na take home ni shilingi ngapi? Shukrani wana bodi
usaili wa mwaka jana 2013 september! alikosa nafasi licha ya kufauru usaili! ndiyo kapigiwa simu jumatano wiki iliyopita kwa mshahara wa TGSD1, ndiyo shilingi ngapi?
hahahahahahahahah!!! nimekusoma mkuu, sasa lakini hata kama Sir name yake ni hiyo majina si yanatakiwa yawekwe public ili kila mtu ayaone?!
Au utumishi siku hizi na wao wameanza kuita watu kazini kwa njia ya simu pekee na si kwa njia ya tovuti yao?!
hahahahahahahahah!!! nimekusoma mkuu, sasa lakini hata kama Sir name yake ni hiyo majina si yanatakiwa yawekwe public ili kila mtu ayaone?!
Au utumishi siku hizi na wao wameanza kuita watu kazini kwa njia ya simu pekee na si kwa njia ya tovuti yao?!
mwajiriwa mpya?!!!
kwani utumishi wameshatoa majina ya waliofaulu usahili wa maafisa tawala uliofanyika tarehe 20 june?!
Eheeee kuna watu wanapelekewa barua na V8 nyumbani, safari inafungwa na wdereva analipwa perdiem siku 5 kwenda km zaidi ta 650 kumfikishia mtumishi mpya barua!
Sisi wa kusubiri njia za SLP ni kusubiri sana tukionewa huruma ni siku 60 kupata barua ya kuitwa kazini. Mkuu acha kabisa.
Nakumbuka mi nilichofanya mwaka huo nafanya interview nilijenga kaurafiki na PS aisee alinisaidia sana maana alinipigia simu na kuniambia nuende nikachukue barua yangu la sivyo ntasubiri sana na kweli kuna watu walikuja baada ya miezi 3.
mkuu inaonekana unayusubiria hayo kwa hamu,sio?
Saaana tu, maana hizi ajira zisizo za sekta rasmi zinazeesha saaaana!!!!
dah!mwenyewe nazisubiria kwa hamu,kila nikiomba lazima nizitaje Mola atushushie heri!
650k take home kabla ya nyongeza ya mwaka huu!
dah!!! ok, mi nilidhan na yeye alifanya pamoja na sisi mwezi uliopta.
kwa mwaka jana TGSD 1 ilikuwa Tsh. 567,000. ila kwa mwaka huu imeongezeka ka elf 40 hv.
Ahsante mkuu kwa kunijuza