Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 58
mwajiriwa mpya?!!!
kwani utumishi wameshatoa majina ya waliofaulu usahili wa maafisa tawala uliofanyika tarehe 20 june?!
usaili wa mwaka jana 2013 september! alikosa nafasi licha ya kufauru usaili! ndiyo kapigiwa simu jumatano wiki iliyopita kwa mshahara wa TGSD1, ndiyo shilingi ngapi?