Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

mwajiriwa mpya?!!!
kwani utumishi wameshatoa majina ya waliofaulu usahili wa maafisa tawala uliofanyika tarehe 20 june?!

usaili wa mwaka jana 2013 september! alikosa nafasi licha ya kufauru usaili! ndiyo kapigiwa simu jumatano wiki iliyopita kwa mshahara wa TGSD1, ndiyo shilingi ngapi?
 
Yeye anaitwa Julius Membe, wewe unaitwa nani?

hahahahahahahahah!!! nimekusoma mkuu, sasa lakini hata kama Sir name yake ni hiyo majina si yanatakiwa yawekwe public ili kila mtu ayaone?

Au utumishi siku hizi na wao wameanza kuita watu kazini kwa njia ya simu pekee na si kwa njia ya tovuti yao?!
 
ndugu wana bodi, anayeuliza ni mwajiriwa mpya serikalini ofisi ya mkuu wa mkoa kama afisa tawala,mshahara wake ni TGSD1,je hii ni sawa na shilingi ngapi kwa mwezi na take home ni shilingi ngapi? Shukrani wana bodi

Mshahara ni SIRI
 
usaili wa mwaka jana 2013 september! alikosa nafasi licha ya kufauru usaili! ndiyo kapigiwa simu jumatano wiki iliyopita kwa mshahara wa TGSD1, ndiyo shilingi ngapi?

dah!!! ok, mi nilidhan na yeye alifanya pamoja na sisi mwezi uliopta.
kwa mwaka jana TGSD 1 ilikuwa Tsh. 567,000. ila kwa mwaka huu imeongezeka ka elf 40 hv.
 
hahahahahahahahah!!! nimekusoma mkuu, sasa lakini hata kama Sir name yake ni hiyo majina si yanatakiwa yawekwe public ili kila mtu ayaone?!
Au utumishi siku hizi na wao wameanza kuita watu kazini kwa njia ya simu pekee na si kwa njia ya tovuti yao?!

Eheeee kuna watu wanapelekewa barua na V8 nyumbani, safari inafungwa na wdereva analipwa perdiem siku 5 kwenda km zaidi ta 650 kumfikishia mtumishi mpya barua!

Sisi wa kusubiri njia za SLP ni kusubiri sana tukionewa huruma ni siku 60 kupata barua ya kuitwa kazini. Mkuu acha kabisa.

Nakumbuka mi nilichofanya mwaka huo nafanya interview nilijenga kaurafiki na PS aisee alinisaidia sana maana alinipigia simu na kuniambia nuende nikachukue barua yangu la sivyo ntasubiri sana na kweli kuna watu walikuja baada ya miezi 3.
 
hawa wanakuwaga reserve list wanapigiwaga simu!
 
Wote n watanzania ila wote hatupo sawa aisee!!!
 
wabongo bana, kichefuchefu sana, yaani watu baada ya kujibu swali wanatandika maswali mengine kibao thn ndo wanajibu , inanikera sana hii, jibu thn dodosa lako.......
 
wadau wa jukwaa ..... kuna yeyote anajua TGS G ina range kwenye kiasi gani?
 
Kumbe ndio mana hawa jamaa w seminar wamegusa Australia wanaomba ukimbizi....loh
 
Back
Top Bottom