Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

duuuu
hapo ndo shda ya bongo sjawahi ona archaeologist wanafit wap na mishaahara yao
 
kama una swali jingne ask.......swali lolote la utumishi wa umma. ask kijana.

mkuu Kobori heshima kwako, tafadhali nisaidie
kuna kazi unakuta mishahara yake wanasema ni As per Treasury Registrars Circular of 2014

(Na hiyo Circular naona ina namba maana unakuta pengine wanasema ni Mshahara kwa Circular no1......5 ya 2014) Ni saidie hiyo Circular mkuu ili nijue level ya mshahara....


Mfano wa hilo tangazo la kazi
 
Nisaidie ukweli kuhusu recategorization, ipo uhalali, ihakika na ukwel wa hii kitu
 
Wanajamvi naomba mnisaidie kujua kiwango cha mshahara Gpsa1, Gpsa2, Gpsa3, Gpsa4, Gpsa5, Gpsa6, Gpsa7. Kinacholipwa na Government Procurement Service Agency.
 
Wadau naomba mnisaidie kufahamu kiwango cha mshahara cha GPSA1, GPSA2,GPSA3, GPSA4, GPSA5, GPSA7, GPSA9.
 
fanyeni kazi ya jeshi mshahara mzuri

Jamaa apo wamedadavua vzuri na source juu ya mishahara, nawe dadavua hiyo ya jeshini ndo tujue kama mizuri au laa. Sio kila mtu anajua mishahara ya huko jeshini. Mkono mtupu haulambwi joho.
 
mm kdogo cjaelewa hzo TGOS wanazpangaje? i.e kwa mfano mtu anayeaanza kaz akiwa na either cert, dip or bach anawekwa kwenye TGOS gan ikiwa labda ni mwl au afisa kilimo..
??
 
NasDaz

Kweli kabisa mkuu....mimi binafsi nilikua nikiwaza kama wadau wengine wanavyowaza eti bora sekta binafsi kuliko serikalini ila nilikuja kudhihirisha baada ya kuona mkataba wao nilichoka maana mwanzo niliwaza vitu vikubwa sana mwisho wa siku ilikua tofauti
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…