Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Nje ya mada, naomba msaada kwa mtu mwenye diploma ya computer science engineering, anaweza somea famasia ngazi gan diploma au degree kwa kuwa form ana pass ya biology Na Chuo alisoma physics Na chemistry Na akafaulu vzur msaada please
 
m kuu nazdad kivipi freelencer wanapata mpunga kuliko walioko kweny viyoyoz
 
mpaka uthibitishwe kazin ( baada ya mwaka mmoja)
kiwango inategemeana na mshahara wako.. mfano mtu wa TGS D anaweza kukopa 5.6M kwa miaka 3.. ukitoa bima ya mkopo na loan facilitation fee unapokea kama 5.3M net.. interest n 18%.. p.a
 
mpaka uthibitishwe kazin ( baada ya mwaka mmoja)
kiwango inategemeana na mshahara wako.. mfano mtu wa TGS D 1 anaweza kukopa 5.6M kwa miaka 3.. ukitoa bima ya mkopo na loan facilitation fee unapokea kama 5.3M net.. interest n 18%.. p.a
 
Hizo document zipo nyingi tu zinazagaa, ila ni vigumu kupata aina zote za viwango vya msishahara kwa ngazi mbalimbali, labda uwe spesific unataka kwa fani gani na daraja gani, usually ni dokumenti kubwa, kuna skeli za mashirika ya umma i.e TRA, BANDARI, POSTA, UDSM n.k, kila shirika lina viwango tofauti na idara za serikali kuna fani zenye skeli tofauti mfano afya ni TPGSH, fani ya walimu wana skeli zao n.k

Habar mkuu!! Je.. Wale BRELA.. Wana BRS 6 inamaanisha ni mshahara wa sh. Ngap???
 
naomba kujuzwa mwenye digree ya IT anaanza na ngazi gani ya mshahara serikalini?
 
Kwenu wadau

Naomba kufahamishwa kuhusu hizi scale za mishahara PUT & PHTS... PUT-2 ni tsh ngapi kabla ya makato na PHTS-8 ni tsh ngapi?
Hizi scale ni za mtu mwenye masters aliyeajiriwa kama assistant lecturer katika taasisi mbili tofauti. PHTS imetolewa MWEKA na PUTS 2.1 UDOM.
 
Naomba kuuliza hii scale ni sh ngapi? PMGSS 5....

Imetolewa na UDOM.
 
Naomba kuuliza kuhusu viwango mishahara ya Sido mfano position za business development officers ii na credit officers ii :disapointed::disapointed:
 
Naomba kuuliza ngazi za mishahara za TPA kwa m2 mweny diploma kwa ngazi ya network officer
 
jamani naomba mwenye taarifa zozote kuhusu tanroads tabora anijuze kwa usahili wa nafasi walizo tangaza
 
Mwenye kujua mishahara ya B.O.T naomba aweke hapa pamoja na BRELA naomba mnisaidie wadau
 
Tutorial ni PUTS 12 kwa vyuo vya Umma ambayo ni around 1,250,000/= Polisi sina hakika sana

Mkuu kama unajua kiwanjo cha assistant lecturer, tofauti ya PHTS 8-9 and PUTS 2.1 cz vyote hivi ni viwango vya mshahara kwa assistant lecturer
 
Back
Top Bottom