Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
[/LEFT]
[/CENTER]
mkuu ppra ni currency ya nchi gani au ulitaka kusema PULA
siyo chini ya 2.5 m
PPRA kwani washaita?Kwa anaejua tafadhali.
Ndugu naomba unijuze na PPRA1 pole kwa usumbufu
mkuu ppra ni currency ya nchi gani au ulitaka kusema PULA
laki 9 na 25
laki 9 na 25[/QUOTE
Acha kumdanganya mwenzio,PGSS 7 sio laki 9 ,PGSS 7 ni laki 6 na 33 na analipwa mwenye Diploma asie na uzoefu wa kazi na kila mwaka inaongezeka,hiyo uliotaja wala haipo ,ambae anaanza na degree bila experience ndio analipwa pgss 10 sawa na laki 9 na 81 ambapo akikaa mwaka kazini mshahara utafika kwenye milion na.

Dah, jamaa alikuwa muongo kweli, mie nilishangaa!
Aisee asante sana ubarikiwe.