Hizo document zipo nyingi tu zinazagaa, ila ni vigumu kupata aina zote za viwango vya msishahara kwa ngazi mbalimbali, labda uwe spesific unataka kwa fani gani na daraja gani, usually ni dokumenti kubwa, kuna skeli za mashirika ya umma i.e TRA, BANDARI, POSTA, UDSM n.k, kila shirika lina viwango tofauti na idara za serikali kuna fani zenye skeli tofauti mfano afya ni TPGSH, fani ya walimu wana skeli zao n.k
Sina figure kamili ila ni kuanzia 800000-1000000!!
jaman tunaomba msaada kwa wenye uelewa ngazi na kiasi cha mshahara cha cilinical officers ngazi ya diploma,plz
Itakuwa 1.8 m
Tutorial ni PUTS 12 kwa vyuo vya Umma ambayo ni around 1,250,000/= Polisi sina hakika sana