Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

kaka ili kupukana na kichefu chefu cha waajiri wa hapa nyumbani nakushauri utafute kazi katika hizi International Organizations/corporations ambazo zipo nyingi tu na lengo lao naamini ni kuwaondolea umaskini watanzania, na wanatangaza kazi kila uchao katika media, mostly local english newspaper. suala la Mshahara siku hizi ni negotiable, wasomi wamekuwa wengi na Qualified in Tz kwa sasa, tofauti na last 9 yrs.

Every successful company once wa a small company which grows to where they are today. Advising him to shy away from small companies meaning the small company to remain small or die due lack of knowledgeble persons.

If he had his savings why dont he start his own enterprises? why if he is educated should go to be asked by uneducated "why do you think you are best for this post" or "Can you convince the enterview panel that you can add value to the company"
 
  • Thanks
Reactions: apk
heshima mbele wakuu.

Nimerudi home na nisingependa kurudi tena ughaibuni kuhangaika na box, nimebahatika kuishi huko kwa miaka 9, ambapo nilipata degree yangu ya business administration marketing + sales na kufanya kazi kwenye baadhi ya corporation za banking na telecom kwa kipindi cha miaka mitano.

Ningependa kujua viwango nya mishahara ya hapa nyumbani, hasa hasa kwenye sekta za finance kama banking na kampuni zakutoa mikopo na vile vile kwenye sekta ya telecommunication/communication.

Asanteni kwa hayo.

Kunta
not necessary your experience obtained abroad will work for tanzania hence asking salaries before passing interview is wastage of time
 
Usimdanganye mwenzio, wangekuwa wanapata hizo wasingetangaza nia ya kugombea ubunge kila kukicha kwa kukimbilia posho ya TZS 50,000 kwa siku kwa miezi miwili kila mwaka.

Hapa bongo hiyo ni mishahara ya CEO au MD au Diretor kwenye secta binafsi. Serikalini huwezi kupata hizo labda uwe "mbayuwayu"

Ukimaanisha uchanganye na zako?? au??? sasa zipi?? Rushwa???hahahaahaaaaa......kweli mtupu......
 
tafuta document aliyotangaza waziri kapuya hivi karibuni kwani inavyoonekana unapendelea zaidi sekta binafsi.
 
Wakuu naombeni kujua kiwango cha mishahara tanzania kwa scale zilizowekwa. Kwa mfano:

TGS A, B, C, D, E, F ... etc.

VILE VILE:

PHTS 9, 10, 11, 12, 13 ... etc.

Na kama kuna nyingine zinazotumiwa na taasisi mbali mbali za serikali ya tanzania.
 
We, huogop? Hzo nyaraka za sirikali...
Walimu wana TGTS A B C D E HADI X.
 
I have always been wondering...hivi hakunaga document labda inayochapishwa na wizara ya mambo ya ndani inayoelezea ivi vitu??! av bin looking for them desperately..
 
I have always been wondering...hivi hakunaga document labda inayochapishwa na wizara ya mambo ya ndani inayoelezea ivi vitu??! av bin looking for them desperately..

zipo kwa wahusika tu,sema ni siri "confidential" na ukikutwa nazo unalo!!
HR na HA wako wanazo:becky::becky:
 
Wakuu naombeni kujua kiwango cha mishahara tanzania kwa scale zilizowekwa. Kwa mfano:

TGS A, B, C, D, E, F ... etc.

VILE VILE:

PHTS 9, 10, 11, 12, 13 ... etc.

Na kama kuna nyingine zinazotumiwa na taasisi mbali mbali za serikali ya tanzania.

Inakuwa ngumu hiyo, maana ni document za Serikali hizo. Na kwa mtumishi mwaminifu aliipa kutunza siri za Serikali. Sasa wewe unataka watu wakiuke viapo vyao na kuipaka Serikali matope.
 
I have always been wondering...hivi hakunaga document labda inayochapishwa na wizara ya mambo ya ndani inayoelezea ivi vitu??! av bin looking for them desperately..

mkuu zipo, ila ni kuwa zimeandikwa neno CONFIDENTIAL tena kwa herufi kubwa bolded, hata hapa nilipo naiona mezani apa ila ni kinyume na maadili ya kazi kuzitoa. Kama una ndugu wa karibu ofsini kwa serikali, mwambie akuombee kwa mhasibu hata wa wilaya atakusaidia kujua mshahara ila si kukupa document.
 
Hizo document zipo nyingi tu zinazagaa, ila ni vigumu kupata aina zote za viwango vya msishahara kwa ngazi mbalimbali, labda uwe spesific unataka kwa fani gani na daraja gani, usually ni dokumenti kubwa, kuna skeli za mashirika ya umma i.e TRA, BANDARI, POSTA, UDSM n.k, kila shirika lina viwango tofauti na idara za serikali kuna fani zenye skeli tofauti mfano afya ni TPGSH, fani ya walimu wana skeli zao n.k
 
nyie musiweke hizo photocopy za serikali. ila tajeni basi angalau ivyo viwango na mishahara yake. japo siyo yote. kubwa yao , katikati na ndogo yao.
you wil be helpful
 
muone katibu mkuu kiongozi atakupa miongozo yote siyo ishu kabisa ila humu utadanganywa
 
Hizo document zipo nyingi tu zinazagaa, ila ni vigumu kupata aina zote za viwango vya msishahara kwa ngazi mbalimbali, labda uwe spesific unataka kwa fani gani na daraja gani, usually ni dokumenti kubwa, kuna skeli za mashirika ya umma i.e TRA, BANDARI, POSTA, UDSM n.k, kila shirika lina viwango tofauti na idara za serikali kuna fani zenye skeli tofauti mfano afya ni TPGSH, fani ya walimu wana skeli zao n.k

NITAJIE POLISI na VYUO VIKUU-Tutorial Assistant....kwa mtu mwenye degree ya kwanza! wala sitaki zaidi..
 
NITAJIE POLISI na VYUO VIKUU-Tutorial Assistant....kwa mtu mwenye degree ya kwanza! wala sitaki zaidi..
Tutorial ni PUTS 12 kwa vyuo vya Umma ambayo ni around 1,250,000/= Polisi sina hakika sana
 
Napendekeza wafanyakazi wa serikali waondokane na matumizi ya hili neno "watumishi wa umma;" hawawezi wakawa watumishi wa umma wakati umma yenyewe inafichwa kiasi cha fedha kinacholipwa kwa niaba yake kwa watumishi hao.

Kitendo hicho cha kufanya hiyo mishahara yao kuwa siri kubwa, ni ushahidi tosha ya kuwa viwango vya mishahara hiyo vinapangwa kifisadi fisadi
 
Back
Top Bottom