Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Acheni kuchakachua topic.....either taja kiwango kama unakifahamu, na kama hufahamu kaa kimya. Hakuna aliyekuomba documents hapa. Na hatuna haja ya kujua kama imeandikwa CONFIDENCIAL kwa herufi kubwa au la.
 
  • Thanks
Reactions: apk
kima cha chini ni alfu 80 na kima cha juu huwa hakitajwi na hutaweza kusikia popote pale na ukifumwa unaropoka utatamani uihame nchi, ila vima vya kati vinaanzia alfu 81 mpaka milioni 5
 
Wadau naomba mnifahamishe mshahara wa mwalimu mwenye digrii, yani basic salary and after makato ya kodi.
 
about 400,000 kwa kuanzia! pia waweza angalia nchi jirani hasa sudani kusini..waweza kufundisha na kupata pesa nyingi zaidi..usiogope kuchukua risk!!
 
TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00
makato yake kuna PSPF
Bima ya Afya
Chama cha walimu
Tax Pay as you Earn
mengine yatakuja ya mikopo kama utakopa

nadhani take home inaweza kua 320,000.00
 
TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00
makato yake kuna PSPF
Bima ya Afya
Chama cha walimu
Tax Pay as you Earn
mengine yatakuja ya mikopo kama utakopa

nadhani take home inaweza kua 320,000.00

mhmhm sasa ukilinganisha na wengine kuna utofauti kweli au? mfano wale wahasibu, administatrators n.k ambao nao ni graduate/bachelor ? na wao si wanaanza na TGSD1 instead of TGTSD1, kifupi mie naona ngoma droo coz hata nao rate ni hiyo hiyo sema tu watu tuna kasumba ya kuwaponda walimu au kazi ya ualimu but salary level is almost the same, and sometimes walimu wana opportunity ya kutumia brain zao kuongeza kipato tofauti na wafanyakazi wa kawaida ambao toka saa 2 asubuhi hadi saa 9 na nusu yupo tu ofisini na dili hazisomi at the end of the month hana source nyingine zaidi ya kusubiri semina au workshop
 
TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00
makato yake kuna PSPF
Bima ya Afya
Chama cha walimu
Tax Pay as you Earn
mengine yatakuja ya mikopo kama utakopa

nadhani take home inaweza kua 320,000.00

320,000.00 ukigawa kwa 30 ni sawa na 10,700/= Tshs kwa siku!

Hivi pesa hii mtu akijipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji wa pampu tu ya kawaida akitumia maji ya mto wa kudumu hawezi kupata hata 500,000 kwa mwezi?

Nauliza tu, I stand to be corrected!
 
320,000.00 ukigawa kwa 30 ni sawa na 10,700/= Tshs kwa siku!Hivi pesa hii mtu akijipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji wa pampu tu ya kawaida akitumia maji ya mto wa kudumu hawezi kupata hata 500,000 kwa mwezi?Nauliza tu, I stand to be corrected!
inawekana lkn, solution inatakiwa iwe ni kuweka uwiano mzuri wa ngazi za mshahara kwa kada zote
 
mhmhm sasa ukilinganisha na wengine kuna utofauti kweli au? mfano wale wahasibu, administatrators n.k ambao nao ni graduate/bachelor ? na wao si wanaanza na TGSD1 instead of TGTSD1, kifupi mie naona ngoma droo coz hata nao rate ni hiyo hiyo sema tu watu tuna kasumba ya kuwaponda walimu au kazi ya ualimu but salary level is almost the same, and sometimes walimu wana opportunity ya kutumia brain zao kuongeza kipato tofauti na wafanyakazi wa kawaida ambao toka saa 2 asubuhi hadi saa 9 na nusu yupo tu ofisini na dili hazisomi at the end of the month hana source nyingine zaidi ya kusubiri semina au workshop

Mshahara wa mwalimu mwenye degree ni sawa sawa na nurse wa certificate kama ulikua hujui. Hao wengine wahasibu na katika sekta zingine wana extra duty allowance kila mwezi ambayo haina kodi ni 150,000.00 pia wana posho ya uchunguzi ambayo nayo ni 150,000.00 hizo ni constant.

Mwalimu hana semina hata moja zaidi ya kwenda kusahihisha mtihani wa Taifa na hiyo hadi ikukute ni balaa. Mwalimu akiwa kijijini na akaitwa wilayani kupeleka taarifa halipwi hata sent wala perdiem hata kama atatumia siku tano kukaa pale wilayani
 
TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00makato yake kuna PSPFBima ya AfyaChama cha walimuTax Pay as you Earnmengine yatakuja ya mikopo kama utakopanadhani take home inaweza kua 320,000.00
Acha urongo,TGTS D 1 ni 422730 na si vinginevyo.
 
Mshahara wa mwalimu mwenye degree ni sawa sawa na nurse wa certificate kama ulikua hujui. Hao wengine wahasibu na katika sekta zingine wana extra duty allowance kila mwezi ambayo haina kodi ni 150,000.00 pia wana posho ya uchunguzi ambayo nayo ni 150,000.00 hizo ni constant.Mwalimu hana semina hata moja zaidi ya kwenda kusahihisha mtihani wa Taifa na hiyo hadi ikukute ni balaa. Mwalimu akiwa kijijini na akaitwa wilayani kupeleka taarifa halipwi hata sent wala perdiem hata kama atatumia siku tano kukaa pale wilayani
mmmh! Mm nina digrii ya nutrition,nisome hyo ya nursing? Naona hata kaz zake ziko za kumwaga! Mana nahangaika kutafuta kaz sipati
 
Du kumbe hizi information zipo?
Jamani mi naomba ya polisi-professional with an undergraduate degree in Computer Science-Networking, with CCNA cerrtification.
6months experience...
 
Mshahara wa mwalimu mwenye degree ni sawa sawa na nurse wa certificate kama ulikua hujui. Hao wengine wahasibu na katika sekta zingine wana extra duty allowance kila mwezi ambayo haina kodi ni 150,000.00 pia wana posho ya uchunguzi ambayo nayo ni 150,000.00 hizo ni constant.
Mwalimu hana semina hata moja zaidi ya kwenda kusahihisha mtihani wa Taifa na hiyo hadi ikukute ni balaa. Mwalimu akiwa kijijini na akaitwa wilayani kupeleka taarifa halipwi hata sent wala perdiem hata kama atatumia siku tano kukaa pale wilayani
\

Ni nani huwa ana-define skta za kupewa allowance na ambazo hazipewi? Ili tujue tu mapema tuwashauri wadogo zetu cha kusoma bana...ata kama sisi tulikoseaga!!!!
 
mshahara wa degree ni TGTS D1 422730/= makato 5 percent pension, 2 percent CWT, 14 percent kodi, 8 percent NHIF unabaki na 368500/=

Mkuu hii calculation ukiyoiweka ni sahihi kweli? maana hizo percentage ulizoweka makato yake yanafika sh 122591
Gross Salary 422,730.00
14% Tax 59,182.20
8% NHIF 33,818.40
5% pension 21,136.50
2% CWT 8,454.60

Take home salary= 300,138.30
 
mshahara wa degree ni TGTS D1 422730/= makato 5 percent pension, 2 percent CWT, 14 percent kodi, 8 percent NHIF unabaki na 368500/=
Makato kibao kambwa kenyewe ndo ivo utajenga kweli? Maendeleo utayasikia kwa jirani.
 
Hii professional nmeivamia wandugu npeni michongo mingne yakufanya kwani mwakan tu namalzia digrii yangu.
 
Back
Top Bottom