Ingia tu mkuu baada ya mwaka mmoja chukua mkopo then zungushia kwenye biashara utatoka tu. Mie nilikua huko ila nilikwepa kwenye kusoma degree nikasomea kitu kingine kabisa na ndo kinachonitoa sasa
Jamani inasikitisha kuona kiwango ambacho waalimu wanalipwa na serikali. Mimi sikujuwa haya. Ndio nasoma leo. Serikali yetu kama inataka kweli ifikie kiwango cha kuridhisha ni lazima waongeze maslahi kwa waalimu wa watoto na taifa la kesho.
Jamani laki tatu au nne take home ni ndogo. Naomba serikali yetu ifikirie kwa haraka sana kuboresha mishahara ya waalimu wetu
