Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ingia tu mkuu baada ya mwaka mmoja chukua mkopo then zungushia kwenye biashara utatoka tu. Mie nilikua huko ila nilikwepa kwenye kusoma degree nikasomea kitu kingine kabisa na ndo kinachonitoa sasa

Jamani inasikitisha kuona kiwango ambacho waalimu wanalipwa na serikali. Mimi sikujuwa haya. Ndio nasoma leo. Serikali yetu kama inataka kweli ifikie kiwango cha kuridhisha ni lazima waongeze maslahi kwa waalimu wa watoto na taifa la kesho.

Jamani laki tatu au nne take home ni ndogo. Naomba serikali yetu ifikirie kwa haraka sana kuboresha mishahara ya waalimu wetu
 
320,000.00 ukigawa kwa 30 ni sawa na 10,700/= Tshs kwa siku!
Hivi pesa hii mtu akijipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji wa pampu tu ya kawaida akitumia maji ya mto wa kudumu hawezi kupata hata 500,000 kwa mwezi?

Nauliza tu, I stand to be corrected!

You are very right, ni huo ugonjwa wa kuajiliwa tu. Lakini mtu ukitumia nyenzo ya elimu yako ya digrii moja (ya ualimu) ukapata mtaji wa wastani wa kilimo, unaweza kuzidi mbali sana kiwango hiki.

Tuna ugonjwa wa kuajiliwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. mazoea yana tabu.
 
\sasa hapo inarudi back to 459000 take home!je. hapo ukipata hiyo si bado unapata house rent na vikolombwezo vyake?nliambiwa mnapewa nyumba, na kama kituo ulichopangiwa hakina za kutosha basi unaenda kupanga nje na utalipwa rate za rent hiyo kutokana na mshahara wako.vipi, hizi ziko included kwenye huo mshahara ama ni mojawapo ya benefits za kulitumikia taifa!??
Yeah unapewa pia house allowance 15% ya salary,na wana allowance zngne za vitengo mbalimbali..jaribu mzee!
 
By The Priest Mshahara wa polisi ukiwa na degree yeyote ile ni sh.455200 basic,na take home ni sh.359000,pia wanpata posho ya sh.100,000 katikati ya mwezi...hapo ni kabla hajapandishwa cheo chochote.Wacha kutudanganya wewe, Polisi wanalipwa kutokana na vyeo vyao na sio degree wala certificate. Mfano Ukiwa na mbavu mbili unaitwa Koplo hapo mshahara wako unakua tofauti na siye na mbavu, hali kadhalika mwenye mbavu tatu na kuendelea. ukiwa na nyota pia unakua na mshahara tofauti na mwenye mbavu
Kama hujui bora uulize,huo ulikuwa utaratibu wa zamani..
 
Mie bro angu ni polisi: wanalipwa kulingana na kiwango cha elimu na cheo mtu alichonacho.
 
Mimi ni Polisi na ni Graduate of Bachelor of Laws, what I know is that a person is paid according 2 his level of education. For instance a graduate's basic salary ranges from 440,720 & take home is 349,000 then plus 100,000 monthly allowance. So msidanganyane. Thanks
 
Msinielewe vibaya eti nawakatisha tamaa watu wasitafute kazi. No! Absolutely not!
Isipokuwa najaribu kuleta ujumbe kuwa: Tutafute kuajiriwa sawa, lkn OUR ULTIMATE GOAL IWE NI KUJIAJIRI NA HATA KUAJIRI WENGINE!

Thanks!
Unataka tuanzishe vitu kama JF? Sijaelewa link!
 
Mimi ni Polisi na ni Graduate of Bachelor of Laws, what I know is that a person is paid according 2 his level of education. For instance a graduate's basic salary ranges from 440,720 & take home is 349,000 then plus 100,000 monthly allowance. So msidanganyane. Thanks

Vipi kuhusu house rent and other allowances!??
oh,
na hizo graduate degrees, inategemea ni ya nini au as long as una degree moja nyote mnalipwa sawa!

Halafu,
would you still encourage someone kuja kufanya kazi huko as a porfessional!??
 
Hii professional nmeivamia wandugu npeni michongo mingne yakufanya kwani mwakan tu namalzia digrii yangu.
..,

Utafanikiwa suala kubwa ni malengo...Baba wa Taifa alikuwa mwalimu kama wewe..,lectures wote ni walimu unawaonaje ni kweli hawana mafanikio?

Tatizo vijana wa siku hizi mnataka maendeleo ya papo kwa papo, Usisahau Hata m-buyu ulianza kama mchicha.
 
.., Utafanikiwa suala kubwa ni malengo...Baba wa Taifa alikuwa mwalimu kama wewe..,lectures wote ni walimu unawaonaje ni kweli hawana mafanikio..,?Tatizo vijana wa siku hizi mnataka maendeleo ya papo kwa papo...,Usisahau Hata m-buyu ulianza kama mchicha.
asante mkuu kwa ushauri wako, hakika umenpa changamoto na sasa npo kijiji kwa field. By the way Mipango ndio everythng
 
take home ni 347,000/== mshahara wa ajabu sana huu, kuna siku kidogo nigome kuuchkua, nikakaaaa nikawaza kwa kina nikaamua kuachana na hii job maana mazingira magumu, hakua overtime yenye malipo, full frustration yaani ukienda kule na knowledge yako lazima ita-expire within short time.....
 
hakika elimu itazd kudidimia
 
Mi nimemeliza yangu Udom juzi lakn now napigana hata wasipange hata huko kufundisha, hebu imagine kwenye hisi taasisi za gvt kuna watu wanalipwa tofauti na huu mshahara wa mwl, issue hapa kijana chukua jiwe lako then sepa tu teaching hailipi na naapa siendi huko
 
Vipi kuhusu house rent and other allowances!??
oh,
na hizo graduate degrees, inategemea ni ya nini au as long as una degree moja nyote mnalipwa sawa!

Halafu,
would you still encourage someone kuja kufanya kazi huko as a porfessional!??

jamani mentor usiwe police...haha
ila ukweli ngazi za mishahara haziko sawia kabisa na zinakatisha tamaa
jamani tujiajiri (tusitegemee tu kulipwa na employer...tutakuwa wezi tu)
 
Mi nimemeliza yangu Udom juzi lakn now napigana hata wasipange hata huko kufundisha,hebu imagine kwenye hisi taasisi za gvt kuna watu wanalipwa tofauti na huu mshahara wa mwl,issue hapa kijana chukua jiwe lako then sepa tu teaching hailipi na naapa siendi huko

st. maria si wanalipa vizuri?
usiache taaluma tutakosa walimu jamen,na nyie ndo mmetufanya tufike hapa
 
Back
Top Bottom