Mwalimu mwenye degree kupewa mshara huo wa take home 350,000.00 PM . Hizo ni dola 221 kwa mwezi. ni matusi kwa jamii. Sasa hebu nenda kwa wabunge walala usingizi. Mkopo wa gari, mshahara wa dereva wake, mshahala wake wa mwezi, allowance za kujikimu,pamoja kutemea katika tume utakuta antoka na 1,758,000.00 ! hizo ni dola 1280.58 Jamani Makda ni watu hatari sana katika jamii kuliko wezi mia moja wenye bastora, ona jinsi walivyojilundikia mapesa bungeni kuliko walimu! 1280.58-221.00=1059.58! 1059.58 mbunge anapeta nazo mitaani!