Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

take home ni 347,000/== mshahara wa ajabu sana huu, kuna siku kidogo nigome kuuchkua, nikakaaaa nikawaza kwa kina nikaamua kuachana na hii job maana mazingira magumu, hakua overtime yenye malipo, full frustration yaani ukienda kule na knowledge yako lazima ita-expire within short time.....
Ni kweli hata mdogo wangu alitoka na expectations huko vasite, mbona mshahara wa kwanza tu aliacha kazi, akaona ni afadhali hata ubunge, kwa sasa yeye ni mbunge.

Mi nimemeliza yangu Udom juzi lakn now napigana hata wasipange hata huko kufundisha,hebu imagine kwenye hisi taasisi za gvt kuna watu wanalipwa tofauti na huu mshahara wa mwl,issue hapa kijana chukua jiwe lako then sepa tu teaching hailipi na naapa siendi huko
Elimu ni nyenzo ya kumwezesha binadamu kupambana na mazingira yake, KWA NINI upoteze miaka yako mitatu vasite na migomo, misukosuko kibaao na HSLB, ukibeba jiwe ambalo hata halitakusaidia ! I classify that, as upumbaafu.

Ukigoma kazi ya kufundisha UTAREJESHA VIPI HIYO MIKOPO, utakufa na madeni eti! aku!?

Tutaishauri serikali itoage bumu kwa wtumishi wake hasa walimu. "Ukizoea vya kunyonga........"

Sasa na cc wenye vibachelor vye2 vya agro-economics and agr-busness 2kafie wap jaman?

Mwalimu mwenye degree kupewa mshara huo wa take home 350,000.00 PM . Hizo ni dola 221 kwa mwezi. ni matusi kwa jamii. Sasa hebu nenda kwa wabunge walala usingizi.

Mkopo wa gari, mshahara wa dereva wake, mshahala wake wa mwezi, allowance za kujikimu, pamoja kutemea katika tume utakuta antoka na 1,758,000.00 ! hizo ni dola 1280.58 Jamani Makda ni watu hatari sana katika jamii kuliko wezi mia moja wenye bastora, ona jinsi walivyojilundikia mapesa bungeni kuliko walimu! 1280.58-221.00=1059.58! 1059.58 mbunge anapeta nazo mitaani!

Mwalimu mwenye degree kupewa mshara huo wa take home 350,000.00 PM . Hizo ni dola 221 kwa mwezi. ni matusi kwa jamii. Sasa hebu nenda kwa wabunge walala usingizi. Mkopo wa gari, mshahara wa dereva wake, mshahala wake wa mwezi, allowance za kujikimu,pamoja kutemea katika tume utakuta antoka na 1,758,000.00 ! hizo ni dola 1280.58 Jamani Makda ni watu hatari sana katika jamii kuliko wezi mia moja wenye bastora, ona jinsi walivyojilundikia mapesa bungeni kuliko walimu! 1280.58-221.00=1059.58! 1059.58 mbunge anapeta nazo mitaani!
Sema kweli!! naacha ualimu, naenda kuwa mbunge!

Hakuna usawa katika jamii cha umuhimu ni kufanya mabadiliko tumechoka na sufuria moja ya ugal we need change

Namshukuru mungu nimeuacha ualim ila ulinisadia sana wakati napiga Llb !

mshahara wa mwalimu mwenye degree ni Tsh 422,730 basic baada ya makato take home ni kama Tsh 335,000/= salary scale zinachanganya watu sana ukiiona salary scale ya mwalimu ni kubwa sana lakini mshahara mdogo ni kwa nini?

serikali imewaibia sana walimu to the maximum wao bila kujua haina maana kumuona mwalimu alliyesoma BSc Education majoring in let say Mathematics and Physics anazidiwa mshahara na nurse tena wa certificate!

walimu wafumbuke macho kama walivyofanya madaktari waache woga wadai haki zao yaani hizi scale ndo zinadanganya TGTS maana yake ni Tanzania General Teachers Scale na TGS maana yake ni Tanzania General Scales kwa hiyo Mwalimu mwenye TGTSD1 na daktari mwenye scale kama hiyo anamzidi mshahara mwalimu karibuni mara tatu!

GTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00
makato yake kuna PSPF
Bima ya Afya
Chama cha walimu
Tax Pay as you Earn
mengine yatakuja ya mikopo kama utakopa

nadhani take home inaweza kua 320,000.00

jamani mentor usiwe police...haha
ila ukweli ngazi za mishahara haziko sawia kabisa na zinakatisha tamaa
jamani tujiajiri (tusitegemee tu kulipwa na employer...tutakuwa wezi tu)

Siendi kuajiriwa, na siendi kuiba..
wat if i go with the motive of changing the curernt face of situation huko? kama nisipoenda nani atapabadili?

Btw, nina miradi ya kutosha kunilisha mpaka nife but natamani sana ku-serve my society (sio kisiasa) nikaona nijaribu ku-apply hapo!

Hakuna usawa katika jamii cha umuhimu ni kufanya mabadiliko tumechoka na sufuria moja ya ugal we need change
Actually the changes would be possible if and only if you fresh graduates would bring forth the very solidarity you execute when still at vasities, well?

SI LAZIMA UAJIRIWE NA SERIKALI, ZIPO SHULE BINAFSI WANATOA MSHAHARA MKUBWA KIDOGO. TATIZO NI KAMA LUGHA NAYO INAGOMA.. SHULE ZA BINAFSI WANAANGALIA SANA UWEZO WA LUGHA.. na ninajua lugha kwa wahitimu wetu wa ualimu hususani wa sayansi ni MGOGORO MKUBWA SANA

kama unaogopa kuwa masikini ndugu yangu nakushauri achana na kazi jitose kwenye ujasiiliamali inalipa

Lakini tuwe wazi NJAA zetu nd'o zinazotudhalilisha, kuna walimu na digrii zao wamekubali kufundisha shule za KATA huko MAPORINI. Lazima serikali ipate jeuri.

Siendi kuajiriwa, na siendi kuiba..
wat if i go with the motive of changing the curernt face of situation huko? kama nisipoenda nani atapabadili?
Btw, nina miradi ya kutosha kunilisha mpaka nife but natamani sana ku-serve my society (sio kisiasa) nikaona nijaribu ku-apply hapo!

kubadilisha system ya polisi wa nchi hii?
kila la-kheri mkuu aisee mana imani ilishaisha kwa polisi

mkuu safi sana tangulia huko tunaweza kukutana huko siku moja japo sijawahi kufikiria kama ipo siku nitaitwa afande Narubongo, nilazima tufanye mapinduzi ya zile windows 98 tuweke ma linux, win7 wazee watoke bana watuachie... mhhhh lakini mkuu swala la umri max ni ngapi? na kama una master salary ni ngapi? nataka kubadili career

kubadilisha system ya polisi wa nchi hii?
kila la-kheri mkuu aisee mana imani ilishaisha kwa polisi

Kwa hiyo kama kuna kitu umekichoka ukae tu usifanye kitu!??
Umesahau wahenga walivyosema, "Be the change you want to see around you."

mkuu safi sana tangulia huko tunaweza kukutana huko siku moja japo sijawahi kufikiria kama ipo siku nitaitwa afande Narubongo, nilazima tufanye mapinduzi ya zile windows 98 tuweke ma linux, win7 wazee watoke bana watuachie... mhhhh lakini mkuu swala la umri max ni ngapi? na kama una master salary ni ngapi? nataka kubadili career

Afande Narubongo,lol. Hata mimi mpaka leo sijaamini kwamba kweli naenda huko...but I have this feeling that something has got to change in our country's system. I want to be a part of that change..I wanted to join the education system but sijui kwa nini nimevutiwa (kwa sasa) na polisi. Maybe, sitabadilisha kitu..but untill that happens, nitaenda and see for myself!
Karibu mkuu..it is our country, sote tukikata tamaa..tutaiuza nchi!??

Kwa hiyo kama kuna kitu umekichoka ukae tu usifanye kitu!??

Umesahau wahenga walivyosema, "Be the change you want to see around you."

Afande Narubongo,lol. Hata mimi mpaka leo sijaamini kwamba kweli naenda huko...but I have this feeling that something has got to change in our country's system. I want to be a part of that change..I wanted to join the education system but sijui kwa nini nimevutiwa (kwa sasa) na polisi. Maybe, sitabadilisha kitu..but untill that happens, nitaenda and see for myself!

Karibu mkuu..it is our country, sote tukikata tamaa..tutaiuza nchi!??

nimeyapenda maelezo yako mkuu,hasa hayo ya mwisho.

Back
Top Bottom