Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Kuna sehem nmeona kaz af allowance wameandka TBC msada plz kwa anaejua..
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

[/LEFT]
[/CENTER]

Naona ngazi za mishahara ya walimu wa vyuo vikuu haipo kwenye jedwali, vipi kuhusu mishahara mipya ya assistant lecturer kwa vyou vilivyo chini ya NACTE na TCU?
 
Naona ngazi za mishahara ya walimu wa vyuo vikuu haipo kwenye jedwali, vipi kuhusu mishahara mipya ya assistant lecturer kwa vyou vilivyo chini ya NACTE na TCU?
 
Jamani naomba kuuliza nyazi za mishahara kwa TPA kwa mtu mwny bachelor ni kiasi gani.
 
mkuu ppra ni currency ya nchi gani au ulitaka kusema PULA

PPRA ni Public procurement regulatory authority, ni taasis inayoregulate utaratibu wote katika manunuzi ya serikali, PPRA 7, ni salary scale ya watumishibwa ppra.
 
 
 
Habari wana JamiiForums
Nilikuwa naomba kujua viwango vya mishahara kwa watumishi kada wa afya ngazi zote za Degree. Diploma ya environmental health science
Au chanzo cha kupata taarifa nisaidie
 
Mimi naangalia chance ya kwenda shule,private sector ukienda Kusoma mwenzako anawekwa,lakin huku haaaaa,two years unaenda Kusoma mshahara Na posho iko palepale,Kama ulikuwa unategemea over time kidogo utayumba,mshahara 357,000 hivi ration 180,000/=sinywi pombe sinunui mlupo,kwann isitoshe?
Kuna mtu analiowa laki Na nusu na anishu bila stress,pesa ni nidhamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…