Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

JINSIA YAKO INANIPA WASIWASI:confused2:
 
Funguka mkuu, ni PM hiyo deal ikoje?

Kama wewe ni mtu wa kuona noma hutaiweza.
ni kitu kama baba lishe hivi,masupu,machipsi,
mitori na vinywaji juisi, soda, maji na kapombe.
sisi ndo wapishi na wahudumu.
Hapa wengi wanashindwa kwa kuwaogopa ma sista du.
 
Kama wewe ni mtu wa kuona noma hutaiweza.
ni kitu kama baba lishe hivi,masupu,machipsi,
mitori na vinywaji juisi, soda, maji na kapombe.
sisi ndo wapishi na wahudumu.
Hapa wengi wanashindwa kwa kuwaogopa ma sista du.

Mimi siogopi sister duuz mkuu.
 
Gvnt ni matatizo sasa ndo ukutane na idara ya elimu tena TSD wawe na tabia kama za maafisa TSD waliopo MAKETE ..NJOMBE region unaweza kuacha kazi siku moja maana madaraja hadi kupanda hadi miaka sita
 
Dah.. majanga.. mi graduate ila nimeanzia 2m private..... nikipelekwa serikalini sidhani kama nitafanya kazi ipasavyo... Ndo nilitaka niombe... Nataka kuuliza kama serikalini kuna viwango vya mishahara kwa special jobs kama software development...?
 
Jamani naombeni kuuliza juu ya hizi Salary Scale za TANAPA National Parks, Salary Scale: TNPSS F.
Ndio ikoje na inakua vip?

Msaada wenu tafadhali

 
Habari wanajamii forum. Naomba kujuzwa ngazi ya Mshahara PMGSS 8 ni Tsh ngapi? Nahitajika kufanya maamuzi ya wapi niajiriwe kati ya sehemu mbili hiyo nyingine Tayari naijua, nahitaji kuijua hii.
 
Habari za usiku huu jf, naombeni mnijuze ngazi ya mshahara wa wafanyakazi wa Masijala za manispaa kwa anayefahanu, natanguliza shukrani, na kebehi na matusi sipendi, asan.teni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…