Hiyo ni level ya mkurugenzi, kwa hivyo apart from salary (around 3.8m) lakini vile vile utapata na allowances nyengine kama entitlement.
- Gomic, hiyo 21 sina hakika, lakini hizo stahili ni kama: utilities, housing, nyengine zinategemea shirika (mlinzi, mafuta, simu, chai.....)
habari wanajamii
ningependa kuuliza mshahara anaopata mwalimu wa shule ya msingi pindi anapoanza kazi kila mwezi anapokea sh ngp
N:B:sijauliza kwa ubaya wapendwa mwenye kufahamu atuambie tafadhali
nauli ya kwenda na kurudi " kigoma " ndiyo mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi na kama huijui hiyo nauli nenda kaulize ubungo terminal.
TGST 185,000/=Tsh baada ya makato.
Damn mfanyakaz wangu wa ndani ndio ela ninayomlipa kwa siku hiyoMi kuna mshikaji wang kaajiriwa mwaka 2013 alinambia wanachukua km 230,000/= baada ya makato ila sina uhakika sana mkuu.
Damn mfanyakaz wangu wa ndani ndio ela ninayomlipa kwa siku hiyo
Mi kuna mshikaji wang kaajiriwa mwaka 2013 alinambia wanachukua km 230,000/= baada ya makato ila sina uhakika sana mkuu.