Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Wadau,

Tafadhali naomba msaada kujua kiasi cha shilingi katika hizi scale mbili.
 
Hiyo ni level ya mkurugenzi, kwa hivyo apart from salary (around 3.8m) lakini vile vile utapata na allowances nyengine kama entitlement.
 
Hiyo ni level ya mkurugenzi, kwa hivyo apart from salary (around 3.8m) lakini vile vile utapata na allowances nyengine kama entitlement.

Thanks ndugu.Kwahiyo pgss 20 au 21 ziko close?..na hizo stahili nyingine ni kama zipi?
 
- Gomic, hiyo 21 sina hakika, lakini hizo stahili ni kama: utilities, housing, nyengine zinategemea shirika (mlinzi, mafuta, simu, chai.....)
 
habari wanajamii

ningependa kuuliza mshahara anaopata mwalimu wa shule ya msingi pindi anapoanza kazi kila mwezi anapokea sh ngp
N:B:sijauliza kwa ubaya wapendwa mwenye kufahamu atuambie tafadhali
 
ni elfu ishirini na mia mbili mia tano na senti kadhaa.ila kama wewe ni KE utaish vizur maana everybody wants to mary a teacher,ila kama wewe ni ME anza kujiundaa kukopa kopa viduka vya mtaani na kutokulipa hiyo itakufanya usavaivu vizuri.ila pia tegemea mifuko au waleti zako kujaa majina ya wapiga kelele,walio wahi namba na majina ya wasumbuni na si hela
 
habari wanajamii

ningependa kuuliza mshahara anaopata mwalimu wa shule ya msingi pindi anapoanza kazi kila mwezi anapokea sh ngp
N:B:sijauliza kwa ubaya wapendwa mwenye kufahamu atuambie tafadhali

nauli ya kwenda na kurudi " kigoma " ndiyo mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi na kama huijui hiyo nauli nenda kaulize ubungo terminal.
 
nauli ya kwenda na kurudi " kigoma " ndiyo mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi na kama huijui hiyo nauli nenda kaulize ubungo terminal.

huyo yupo buselesele ukimwambia ubungo hapafaham ndugu.cha msingi mwambie mshahara wa mwalimu hautoshi hata kulipia mahali ya kuolea mwanamke
 
Mi kuna mshikaji wang kaajiriwa mwaka 2013 alinambia wanachukua km 230,000/= baada ya makato ila sina uhakika sana mkuu.

kakudanganya sana ili usimuombe hela ukiishiwa kabisa aiseee labda kama anakatwa mkopo wa NMB
 
Back
Top Bottom