Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)


Every successful company once wa a small company which grows to where they are today. Advising him to shy away from small companies meaning the small company to remain small or die due lack of knowledgeble persons.

If he had his savings why dont he start his own enterprises? why if he is educated should go to be asked by uneducated "why do you think you are best for this post" or "Can you convince the enterview panel that you can add value to the company"
 
Reactions: apk
not necessary your experience obtained abroad will work for tanzania hence asking salaries before passing interview is wastage of time
 

Ukimaanisha uchanganye na zako?? au??? sasa zipi?? Rushwa???hahahaahaaaaa......kweli mtupu......
 
tafuta document aliyotangaza waziri kapuya hivi karibuni kwani inavyoonekana unapendelea zaidi sekta binafsi.
 
Wakuu naombeni kujua kiwango cha mishahara tanzania kwa scale zilizowekwa. Kwa mfano:

TGS A, B, C, D, E, F ... etc.

VILE VILE:

PHTS 9, 10, 11, 12, 13 ... etc.

Na kama kuna nyingine zinazotumiwa na taasisi mbali mbali za serikali ya tanzania.
 
We, huogop? Hzo nyaraka za sirikali...
Walimu wana TGTS A B C D E HADI X.
 
I have always been wondering...hivi hakunaga document labda inayochapishwa na wizara ya mambo ya ndani inayoelezea ivi vitu??! av bin looking for them desperately..
 
I have always been wondering...hivi hakunaga document labda inayochapishwa na wizara ya mambo ya ndani inayoelezea ivi vitu??! av bin looking for them desperately..


zipo kwa wahusika tu,sema ni siri "confidential" na ukikutwa nazo unalo!!
HR na HA wako wanazo:becky::becky:
 
Wakuu naombeni kujua kiwango cha mishahara tanzania kwa scale zilizowekwa. Kwa mfano:

TGS A, B, C, D, E, F ... etc.

VILE VILE:

PHTS 9, 10, 11, 12, 13 ... etc.

Na kama kuna nyingine zinazotumiwa na taasisi mbali mbali za serikali ya tanzania.

Inakuwa ngumu hiyo, maana ni document za Serikali hizo. Na kwa mtumishi mwaminifu aliipa kutunza siri za Serikali. Sasa wewe unataka watu wakiuke viapo vyao na kuipaka Serikali matope.
 
I have always been wondering...hivi hakunaga document labda inayochapishwa na wizara ya mambo ya ndani inayoelezea ivi vitu??! av bin looking for them desperately..

mkuu zipo, ila ni kuwa zimeandikwa neno CONFIDENTIAL tena kwa herufi kubwa bolded, hata hapa nilipo naiona mezani apa ila ni kinyume na maadili ya kazi kuzitoa. Kama una ndugu wa karibu ofsini kwa serikali, mwambie akuombee kwa mhasibu hata wa wilaya atakusaidia kujua mshahara ila si kukupa document.
 
Hizo document zipo nyingi tu zinazagaa, ila ni vigumu kupata aina zote za viwango vya msishahara kwa ngazi mbalimbali, labda uwe spesific unataka kwa fani gani na daraja gani, usually ni dokumenti kubwa, kuna skeli za mashirika ya umma i.e TRA, BANDARI, POSTA, UDSM n.k, kila shirika lina viwango tofauti na idara za serikali kuna fani zenye skeli tofauti mfano afya ni TPGSH, fani ya walimu wana skeli zao n.k
 
nyie musiweke hizo photocopy za serikali. ila tajeni basi angalau ivyo viwango na mishahara yake. japo siyo yote. kubwa yao , katikati na ndogo yao.
you wil be helpful
 
muone katibu mkuu kiongozi atakupa miongozo yote siyo ishu kabisa ila humu utadanganywa
 

NITAJIE POLISI na VYUO VIKUU-Tutorial Assistant....kwa mtu mwenye degree ya kwanza! wala sitaki zaidi..
 
NITAJIE POLISI na VYUO VIKUU-Tutorial Assistant....kwa mtu mwenye degree ya kwanza! wala sitaki zaidi..
Tutorial ni PUTS 12 kwa vyuo vya Umma ambayo ni around 1,250,000/= Polisi sina hakika sana
 
Napendekeza wafanyakazi wa serikali waondokane na matumizi ya hili neno "watumishi wa umma;" hawawezi wakawa watumishi wa umma wakati umma yenyewe inafichwa kiasi cha fedha kinacholipwa kwa niaba yake kwa watumishi hao.

Kitendo hicho cha kufanya hiyo mishahara yao kuwa siri kubwa, ni ushahidi tosha ya kuwa viwango vya mishahara hiyo vinapangwa kifisadi fisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…