Belo unamaanisha hizi au?
New Government Salary Scales;Teacher
TGTS B1=419,000/-
TGTS C1=530,000/-
TGTS D1=716,000/-
TGTS E1=940,000/-
TGTS F1=1,235,000/-
TGTSG1=1,600,000/-
TGTS H1=2,091,000/-
TGTS I=2,810,000/- Approved.
TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00
makato yake kuna PSPF
Bima ya Afya
Chama cha walimu
Tax Pay as you Earn
mengine yatakuja ya mikopo kama utakopa
nadhani take home inaweza kua 320,000.00
Sasa kumbe humu ni porojo na sio kweli,kwa hapo naweza anza amini kuwa taarifa nyingi humu ni uongo.skeli ya D1 sio hiyooo
Naona unazidi kua mgumu kuelewa. Comment niliipost last two years wewe umekuja kuiona leo. Humu ndani kuna comment mpaka za 2009.
Two year ago?,hope itakuwa 2013.still bado hapo haikuwa scale hyoo.any way potezea
Mkuuu Stuna vipi kuhusu PGSS 11 inakua ni kama Shilingi ngapi mkuu???...na nadhani.ni kwa mtu wa kuanzia Degree
Hapo mkuu ngojaa nkutajie nyingne kuna PGSS 9 hii ni sh. 866000 sasa hapo unaweza ukajiuliza PGSS 11 ni ngap
mkuu hyo ni gross au net ?
Hapo mkuu ngojaa nkutajie nyingne kuna PGSS 9 hii ni sh. 866000 sasa hapo unaweza ukajiuliza PGSS 11 ni ngap
Naombeni ngazi ya mishahara mipya Afya 2015/2016
niabiyeni ngazi mpya ya mshahara wa ualimu toka tgts e kwenda tgts f 2015-2016