Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Belo unamaanisha hizi au?
New Government Salary Scales;Teacher

TGTS B1=419,000/-
TGTS C1=530,000/-
TGTS D1=716,000/-
TGTS E1=940,000/-
TGTS F1=1,235,000/-
TGTSG1=1,600,000/-
TGTS H1=2,091,000/-
TGTS I=2,810,000/- Approved.

Naomba na kujua TGSB1 plz
 
Last edited by a moderator:
TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00
makato yake kuna PSPF
Bima ya Afya
Chama cha walimu
Tax Pay as you Earn
mengine yatakuja ya mikopo kama utakopa

nadhani take home inaweza kua 320,000.00

Sasa kumbe humu ni porojo na sio kweli,kwa hapo naweza anza amini kuwa taarifa nyingi humu ni uongo.skeli ya D1 sio hiyooo
 
Mshahara wa PHTS ni kiasi gani,

Naona heading za mishahara humu zina PHTS ila hazisemi ni kiwango gani wanalipwa, nawasilisha
 
Sasa kumbe humu ni porojo na sio kweli,kwa hapo naweza anza amini kuwa taarifa nyingi humu ni uongo.skeli ya D1 sio hiyooo

Naona unazidi kua mgumu kuelewa. Comment niliipost last two years wewe umekuja kuiona leo. Humu ndani kuna comment mpaka za 2009.
 
Naona unazidi kua mgumu kuelewa. Comment niliipost last two years wewe umekuja kuiona leo. Humu ndani kuna comment mpaka za 2009.

Two year ago?,hope itakuwa 2013.still bado hapo haikuwa scale hyoo.any way potezea
 
Two year ago?,hope itakuwa 2013.still bado hapo haikuwa scale hyoo.any way potezea

Huu uzi uliwekwa tarehe 18 January 2010. sasa kaangalie TGTS D 2010 ilikua shilingi ngapi ndo uje utoke na mapovu humu. Orientation ni muhimu sana kwa member wapya wa jamii forum
 
Mishahara gandamiz na midogo imesababishwa na ccm na haya ndio maisha bora aliyoahidi mwenyekiti wa ccm
 
Mkuuu Stuna vipi kuhusu PGSS 11 inakua ni kama Shilingi ngapi mkuu???...na nadhani.ni kwa mtu wa kuanzia Degree

Hapo mkuu ngojaa nkutajie nyingne kuna PGSS 9 hii ni sh. 866000 sasa hapo unaweza ukajiuliza PGSS 11 ni ngap
 
Hapo mkuu ngojaa nkutajie nyingne kuna PGSS 9 hii ni sh. 866000 sasa hapo unaweza ukajiuliza PGSS 11 ni ngap

Na PGSS 10 ni 981,000 kwa sasa, PGSS 11 ni kwenye 1 na upuuzi flani hivi kidogo
 
Attachments

  • 1437655632315.jpg
    1437655632315.jpg
    43.6 KB · Views: 1,036
bodi ya mishahara itaanza utafiti verry soon.. nadhani ni katika kuelekea kubadilisha mishahara ya sasa
 
Back
Top Bottom