Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
nadhani kuna umuhimu wa ku-revise rates!...........
TGS D kwa mwaka 2014/2015 ni 625,000 basic... na take home ni 507,000
TGS D Kwa mwaka 2015/2016 ni 706, 000 take home ni 568,000
yani hadi kufika 1 m ni miaka nenda rudi na gharama za maisha zinapanda mithili ya fastjet
Mtumeeeeeeeeeee:sly:
Nimedandia treni kwambele.
Aisee sorry nimekurupuka.
Nilijua ni currency ndo nikajiuliza ni ya wapi hii.
Mkuu nmecheka sana jamaa alijua ww kilaza daaah jf raha sana
Mkuu umenichekesha kweli, japo umekosea, you made my day:
Mnhhhhh yaani am sooooooooo embarrassed kwakweli.
Hata mimi nimejicheka hapa.
Jinsi nilivo baka swali.