Escardo-bird
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 622
- 224
Jamani,hakuna anaejua?
Milion moja kabla ya makato.
Habari zenu wakuu, SUA wametangaza nafasi za kazi zipo katika website yao. Anayefahamu viwango vyo halisi vya mishahara hatuambie.. mf. Treasury Registrars salaries Circular No. 6,7,8,9,10.. of 2015.
Dah asee hata mimi nlikuwa nataman nivifahamu hivyo viwango
Viwango vipya hawajatoa,Ww Umezitoa wapi? acha uongo wa mchana
Hivi inakuwaje kwenye tangazo la kazi salary scale imeandikwa PGSS 8, lakini mkataba/barua ya kazi inaandikwa PGSS 5?