Tumepata Habari kutoka usomaji magazeti kwamba Mtoto wa kamanda kova amekamatwa bandarini akiiba kontena,ukipenda kunyoshea watu vidole usisahau na wewe ipo siku utanyooshewa vidole,Kova atoe taarifa kama alivyozoea kujitokeza kwenye TV na kutueleza wizi wa Mtoto wake,halafu nilimwona akijikomba eti atakuwa mwanasiasa hatutaki wanasiasa wanaofuga wezi nyumbani kwao
Kamanda KOVA ameishastaafu kwa amani na kwa heshima!. Hana liability yoyote na matendo ya mtoto wake ambaye ni over 18 years, mwacheni KOVA apumzike kwa amani!.Tumepata Habari kutoka usomaji magazeti kwamba Mtoto wa kamanda kova amekamatwa bandarini akiiba kontena,ukipenda kunyoshea watu vidole usisahau na wewe ipo siku utanyooshewa vidole,Kova atoe taarifa kama alivyozoea kujitokeza kwenye TV na kutueleza wizi wa Mtoto wake,halafu nilimwona akijikomba eti atakuwa mwanasiasa hatutaki wanasiasa wanaofuga wezi nyumbani kwao
Kamanda unachosema ni kweli, lakini jina lake kwenye habari hii halikwepeki. Ndiyo maana mtoto wa rais akikojoa hadharani hiyo ni news, lakini mtoto wa kabwela tu hapo hakuna cha kuandikwa.Kamanda KOVA ameishastaafu kwa amani na kwa heshima!. Hana liability yoyote na matendo ya mtoto wake ambaye ni over 18 years, mwacheni KOVA apumzike kwa amani!.
Pasco
Kamanda KOVA ameishastaafu kwa amani na kwa heshima!. Hana liability yoyote na matendo ya mtoto wake ambaye ni over 18 years, mwacheni KOVA apumzike kwa amani!.
Pasco
Alikuwa anahusika kam kiongoz ndan ya police. Jukumu lake lilikuwa ni kukamata majiz yote lkn hakufanya hvyoMkuu Pasco umeniwahi nilitaka ni sema hilo kuwa Kamanda Kova hahusiki na matendo ya mtoto wake ambaye ni mtu mzima.