Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Nahtaji mnielekeze kuhusu police na Jkt pia jwtz na uhamiaji usalama wataifa pccb jaman
 
Apo juu kuna thread ipo sticky...ngazi za mishahara serikalini umejaribu kuucheki huo uzi?
 
Tumepata Habari kutoka usomaji magazeti kwamba Mtoto wa kamanda Kova amekamatwa bandarini akiiba kontena.

Ukipenda kunyoshea watu vidole usisahau na wewe ipo siku utanyooshewa vidole,

Kova atoe taarifa kama alivyozoea kujitokeza kwenye TV na kutueleza wizi wa Mtoto wake, halafu nilimwona akijikomba eti atakuwa mwanasiasa hatutaki wanasiasa wanaofuga wezi nyumbani kwao.
 
Last edited by a moderator:
Hii habari nimeisiki kama tetesi tangia jana nikiwa ofisini.
Yani yeye keshapiga dili kastaafu sasa kamwacha mwanawe nae pige dili. TZ buwana.
 
Tumepata Habari kutoka usomaji magazeti kwamba Mtoto wa kamanda kova amekamatwa bandarini akiiba kontena,ukipenda kunyoshea watu vidole usisahau na wewe ipo siku utanyooshewa vidole,Kova atoe taarifa kama alivyozoea kujitokeza kwenye TV na kutueleza wizi wa Mtoto wake,halafu nilimwona akijikomba eti atakuwa mwanasiasa hatutaki wanasiasa wanaofuga wezi nyumbani kwao

Alikua anapakia kwenye lori? Wengine alioshirikiana nao wameachwa?Dareva wa lori,dareva wa winchi. La sivyo rekebisha maana binafsi sijaelewa.
 
Tumepata Habari kutoka usomaji magazeti kwamba Mtoto wa kamanda kova amekamatwa bandarini akiiba kontena,ukipenda kunyoshea watu vidole usisahau na wewe ipo siku utanyooshewa vidole,Kova atoe taarifa kama alivyozoea kujitokeza kwenye TV na kutueleza wizi wa Mtoto wake,halafu nilimwona akijikomba eti atakuwa mwanasiasa hatutaki wanasiasa wanaofuga wezi nyumbani kwao
Kamanda KOVA ameishastaafu kwa amani na kwa heshima!. Hana liability yoyote na matendo ya mtoto wake ambaye ni over 18 years, mwacheni KOVA apumzike kwa amani!.

Pasco
 
Kova Mjanja sana alivyoona mtoto wake yupo kwenye list ya wezi wa makontena na anatafutwa kesho yake fasta akatangaza kustahafu hahahaa.
 
Dokta (Kova) nae ana kajipu kumbe...haya Mganga Mkuu JPM - tumbuaaaaa!!
 
Huyo Kova jina lake lilitajwa katika wale waliohusika utoroshaji wa kontena zilizogunduliwa juzi juzi.
 
Kamanda KOVA ameishastaafu kwa amani na kwa heshima!. Hana liability yoyote na matendo ya mtoto wake ambaye ni over 18 years, mwacheni KOVA apumzike kwa amani!.

Pasco
Kamanda unachosema ni kweli, lakini jina lake kwenye habari hii halikwepeki. Ndiyo maana mtoto wa rais akikojoa hadharani hiyo ni news, lakini mtoto wa kabwela tu hapo hakuna cha kuandikwa.
Rizidhiwani anaandikwa kwa sababu ya jina la baba yake, lakini angekuwa kapuku tu, wala wasingehangaika naye.
Kwa hili la mtoto wa Kova hakuna namna. Soma JAMHURi.
 
Kamanda KOVA ameishastaafu kwa amani na kwa heshima!. Hana liability yoyote na matendo ya mtoto wake ambaye ni over 18 years, mwacheni KOVA apumzike kwa amani!.

Pasco

Mkuu Pasco umeniwahi nilitaka ni sema hilo kuwa Kamanda Kova hahusiki na matendo ya mtoto wake ambaye ni mtu mzima.
 
Mkuu Pasco umeniwahi nilitaka ni sema hilo kuwa Kamanda Kova hahusiki na matendo ya mtoto wake ambaye ni mtu mzima.
Alikuwa anahusika kam kiongoz ndan ya police. Jukumu lake lilikuwa ni kukamata majiz yote lkn hakufanya hvyo
 
Mbwa aliyekondeana ni Aibu kwa mfugaji.

✔Haiingii akilini mkamata wezi na majambazi na yeye ni mfuga majambazi.
 
Back
Top Bottom