Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Uwezi kwa nchi yetu kuona wapiga pesa kubwa wakiwa nje ya watu kama Kovo,kama wana wanapataga viashili uvunjifu wa amani pindi UKAWA wakitaka kuandamana kudai katiba ya wananchi,kwa nini? wasijue viashilia vya upotevu wa MAKONTENA bandarin mimi nakubaliana kova anayajua makontena.
 
simba au chui au paka hufundisha watoto wake namna ya kuwinda, Je! Tuseme huyu kijana huu uwizi kajifunzia wapi?

Magufuli huyu kijana hailewi dhamira yako ya kutaka kufanya Bandari ya Dar kuwa bandari salama na ya kuaminika
 
Kijana wa kova anaitwa masoud kova wanafanana sana na baba yake alihitimu shahada ya kwanza ya biashara katika masoko chuo kikukuu mzumbe mwaka 2008.

Alosaidiwa na ufisadi wa baba yake akaenda uingereza kufanya MSC marketing management alivorudi ndo kwa mgongo wa babake akawekwa bandari ( mwendelezo wa watoto wa vigogo kuajiriwa kwa vimemo).

Amepiga dili za kufa mtu bandari na sasa ana ghorofa mbezi tangi mbovu, ameoa na ana mtoto mmoja.
 
Huwataki!...we shangaa tu ya kwa kova,mbona sikuelewi yupo!na wengi tu tutawasikia...oooh ni ile ile.....tutaisoma hata wao wanajisoma....
 
Last edited:
Duuu! Kwan amekufa mpaka u wish him rest in peace?
Kamanda KOVA ameishastaafu kwa amani na kwa heshima!. Hana liability yoyote na matendo ya mtoto wake ambaye ni over 18 years, mwacheni KOVA apumzike kwa amani!.

Pasco
 
Watu wa ajabu sana,mambo mengine kama huna uhakika wa unachoongea kaa kimya,mzee Kova muda wake wa mkataba aliopewa na serikali ulikuwa unakoma mwishoni mwa mwaka jana,na siyo kweli eti huyo mzee wa watu kaamua kustaafu ghafla baada ya mwanae kuwa miongoni mwa watuhumiwa wa uhalifu,kwanza huyo mtoto ni over 18 yrs sasa mzazi wake aliyestaafu baada ya makubaliano ya mkataba na serikali kwisha anahusika vipi,Watz tuna matatizo makubwa mno kwa uzushi,unafiki na undumila kuwili,majirani zetu wote wanatujua kwa hayo tu na si vinginevyo
 
Source tafadhali
 
Safari hii lazima hayo makenge...zaa yanyooshwe...

Acha apigwe tu maana hakuna namna...!
 
unadhani huwa wanajituma wenyewe ,wanatumwa na wazazi wao,rione angetoa wapi hela ya kununua hayo malori,hata huyu kova junior usikute alikuwa wakala wa kova mkubwa one a president always a president,once a soldier always a soldier.huwezi kukamata panya wakati wewe unawafuga ndani mwako
 
Kova kastahafu
 
Kamanda KOVA ameishastaafu kwa amani na kwa heshima!. Hana liability yoyote na matendo ya mtoto wake ambaye ni over 18 years, mwacheni KOVA apumzike kwa amani!.

Pasco

Mtoto ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria za nchi
 

Mkuu fafanua vizuri!!!!!!!

Alikamatwa akiiba kontena kivipi????
 

Mkuu fafanua vizuri!!!!!!!

Alikamatwa akiiba kontena kivipi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…